Duuu ni hatari kaka.Kuna wangoni wanakaa Mtoni Mtongani, hao kazi yao ni kulia kwenye misiba ya wangoni wenzao na kulewa pombe tu. Sasa wakipiga story za hiyo misiba ni hatari, yaani huko wanawapelekea moto mpaka vibibi vizee.
mkuu acha kutukana jeshiJKT naamini hapo yupo kibiashara zaidi ili tu Kidoti Cmpny itangazwe kwenye count down
Vinyambisi vingekuwa na calculator.... Cha Jkt... Kingejaa numberHakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live jiki Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mtefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena.
Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho na kwa usiri mkubwa hatimai imedhihilika kuwa mapenzi hayana siri baada ya kuanza kutoa picha zao ktk mitandao na kuonekana sehemu tofauti wakiwa wote, hasa ktk tuzo za Afrimama zilizofanyika South Africa.
Hii ni couple nzuri yenye kujua maisha hasa katika suala zima la kutafuta pesa licha ya kujituma kwa juhudi katika kazi zao.
Ikumbukwe Jokate ane sign mkataba usiokuwa na kikomo na kampuni ya wachina yenye thamani ya Tshs 8.2 billion.
Hahaha mzalendomkuu acha kutukana jeshi
Kaka za kupoteaMambo gani haya uzi toka Mkapa yuko madarkani
Haya wahusila wenyewe watakuwa washa zeeka
Upo mkuuuMambo gani haya uzi toka Mkapa yuko madarkani
Haya wahusila wenyewe watakuwa washa zeeka
Dhuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naskia jamaa joka la kibisa
soma uzi ni wa lini mkuuNampenda Jokate,namuona ana busara,nimefurahi kuiona couple hiyo,nawaombea Mungu wafike mbali
bonge la couple!!Ni kama usikie j.delicious anajimilikisha sanchoka
hahaha safi sana ...hata mimi huwaga nashangaa mnooo she is overrated""...There is somebody behind her!!!!!
Nashukuru kwa kunifahamisha
I have nothing wrong with the picture zaidi ya kuelezea nilichokiona!
Wengine hatuuwezi unafiki nyeusi tunaiiita nyeusi na nyekundu tunaiita nyekundu!
Ova
Aha haha hahaha hahaha hahahaa mamaeee nimecheka sana "" haya basi tufanye ni njegereMkuu, kwa hawa mastar naimani mahalage ya mbeya ni magumu! !!
ha hahahaabonge la couple!!