Millard Ayo ajimilikisha Jokate

Millard Ayo ajimilikisha Jokate

Kuna wangoni wanakaa Mtoni Mtongani, hao kazi yao ni kulia kwenye misiba ya wangoni wenzao na kulewa pombe tu. Sasa wakipiga story za hiyo misiba ni hatari, yaani huko wanawapelekea moto mpaka vibibi vizee.
Duuu ni hatari kaka.
 
Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliekuwa mpenzi wake Millard Ayo baada ya kumfumania live jiki Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mtefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena.

Mapenzi yake kwa Jokate yalianza kwa kificho na kwa usiri mkubwa hatimai imedhihilika kuwa mapenzi hayana siri baada ya kuanza kutoa picha zao ktk mitandao na kuonekana sehemu tofauti wakiwa wote, hasa ktk tuzo za Afrimama zilizofanyika South Africa.

Hii ni couple nzuri yenye kujua maisha hasa katika suala zima la kutafuta pesa licha ya kujituma kwa juhudi katika kazi zao.
Ikumbukwe Jokate ane sign mkataba usiokuwa na kikomo na kampuni ya wachina yenye thamani ya Tshs 8.2 billion.
Vinyambisi vingekuwa na calculator.... Cha Jkt... Kingejaa number
 
Nampenda Jokate,namuona ana busara,nimefurahi kuiona couple hiyo,nawaombea Mungu wafike mbali
 
Mambo gani haya uzi toka Mkapa yuko madarkani
Haya wahusila wenyewe watakuwa washa zeeka
 
Ni kama usikie j.delicious anajimilikisha sanchoka
 
Kwani King Kiba wameachana na Jokate? Si Ayo ataendelea kuibiwa tu?
 
There is somebody behind her!!!!!

Nashukuru kwa kunifahamisha

I have nothing wrong with the picture zaidi ya kuelezea nilichokiona!

Wengine hatuuwezi unafiki nyeusi tunaiiita nyeusi na nyekundu tunaiita nyekundu!

Ova
hahaha safi sana ...hata mimi huwaga nashangaa mnooo she is overrated""...
 
Back
Top Bottom