Ikiwa alikuwa hai hao bodaboda walishindwa kumuaisha Hosptali ?
Nadhani jambo la muhimu la kujifunza ni kuwa na precautions maana kazi ya kupiga picha ni nonstop job .
Alikuwa kama abiria au ni yeye mwenyewe alikuwa ana endesha chombo hicho?
Ni ngumu sana kumpeleka majeruhi hospital bila kuwahusisha Polisi. Kuna kuwa na urasimu mkubwa mno.
Bado walitakiwa wampeleke hospital.Ingawa wao hawatakiwi kuthibitisha kifo ila walichosema ni kuwa huyo kijana alikata moto pale pale wakati boda akiugulia maumivu.
Kabisa walijuaje amekata moto.Bado walitakiwa wampeleke hospital.
Gari lilipita juu yake nasikiaKabisa walijuaje amekata moto.
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Bado maswali yanasimama,PF3 ni kero kwa anayepambania uhai,tayari mtu ni marehemu,malalamiko ya maiti kuachwa barabarani masaa 4 yanakosa mantiki kama majeruhi ilipatikana artenative haraka.Gari lilipita juu yake nasikia
Na yeye ni mpiga zumari wa chama halafu mfanyakazi wake kafanyiwa hivyoJe amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Kuna ntu hapo juu amejibu vyema kuwa apunguze uchawa kwa ccmHapo sioni kama Kuna kitu atajifunza zaidi nadhani anahangaika kutafuta replacement kwa Sasa
R.I.P mpiga picha mfumo wa huduma ya kwanza kwa nchi ni kama haupo kabisa
Maiti ya binadamu ina heshima yakeBado maswali yanasimama,PF3 ni kero kwa anayepambania uhai,tayari mtu ni marehemu,malalamiko ya maiti kuachwa barabarani masaa 4 yanakosa mantiki kama majeruhi ilipatikana artenative haraka.
Huyo ni chawaNimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Unapunguza risk kijana, ukipinduka na gari inaanza kuumia yeyewe ndio wewe, boda boda unaweza umia wewe yenyewe ikabaki.Ukiwa na gari yako ndio huwezi kupata ajali ukafa?
Umakini wa Mtu binafsi pale unapokuwa Safarini unahusiana vipi na Boss wako? Tanzania ina Watu Wapumbavu mno.Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Nachojiuliza Millard Ayo hua wanafika kwenye matukio mengi sana kwa wakati na pengine huwa wanafika kwenye eneo la tukio kabla ya tukio lenyewe(joking 😃).Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Sijui kwanini mifumo ya hosp haijaunganishwa na mifumo ya polisi. Ilitakiwa ukifika pale kama ni ajali unapokelewa unahudumiwa na pale pale hosp pawe na namna ya kuwapatia taarifa polisi kuwa tumepokea majeruhi, au Pale pale hosp getini kuwe na dawati maalum na polisi mmoja kwa ajili ya hayo mambo.Sijafatilia kujua , ile nasikia alikuwa Kama Abiria.
Then hii sheria kuwa MTU akigongwa lazima aanzie police na sio hospitals inaonesha wazi Nchi yetu inaongozwa na watu wenye upeo duni wa kufikiri Sana
Ni vizuri police wapate taarifa ila waanzie hisptali kwanza .
Hivi haiwezekani kumpeleka Hospitali majeruhi wa ajali kabla ya Polisi kufika? Inaumiza sana. Nilimuona jamaa mmoja amegongwa na gari kule Igawa, jamaa amekaa muda mrefu barabarani hapelekwi Hospitali na analia kwa maumivu makali. Inasikitisha sana kwa kweli.Hapo sioni kama Kuna kitu atajifunza zaidi nadhani anahangaika kutafuta replacement kwa Sasa
R.I.P mpiga picha mfumo wa huduma ya kwanza kwa nchi ni kama haupo kabisa
Sijui kwanini mifumo ya hosp haijaunganishwa na mifumo ya polisi. Ilitakiwa ukifika pale kama ni ajali unapokelewa unahudumiwa na pale pale hosp pawe na namna ya kuwapatia taarifa polisi kuwa tumepokea majeruhi, au Pale pale hosp getini kuwe na dawati maalum na polisi mmoja kwa ajili ya hayo mambo.
Upinzani nao unapuuza ajenda zenye maana kama hizi. Yaani yale mambo ambayo hata mtu asiuejua kusoma akisikia yanapiganiwa na yeye anaamka anapigana na wapiganaji maana yanamgusa moja kwa moja.Ilibidi iwe kuwa hivyo lakini unfortunately haipo hivyo.
Ilibidi hosptalini ndo iwe sehemu ya kwanza MTU kwenda baada ya ajali.
Kila hospital ilibidi kuwa na utaratibu wa kupokea wagonjwa wa kawaida na wale wanokuja kutibiwa kutokana na Ajali.