Millard Ayo ana Mke na Watoto; kwanini aseme anatamani kuwa na watoto?

Millard Ayo ana Mke na Watoto; kwanini aseme anatamani kuwa na watoto?

Mimi namfahamu Millard Ayo pamoja na mke wake na mtoto mmoja

Ila kitu cha kusimama mbele ya media na kuanza kusema kuwa anatamani kuwa na watoto huko ni kupotosha jamii.

Au anataka msiba uibue ukweli wake. Kuweka faragha mambo yake ni sawa, ila aache propaganda.

Soma pia: Tetesi: - Millard Ayo afunga ndoa kimya kimya
Bila shaka hukusoma kwa umakini au hukuelewa,
Mtoto ni mmoja,
Watoto ni zaidi ya mmoja,

Yeye amesema anataka watoto,
Kwahiyo hapo umepotosha nini kwa mujibu wa madai yako?
 
Alifunga ndoa kimyakimya waliachana kimyakimya au hakufunga kabisa
 
Mimi namfahamu Millard Ayo pamoja na mke wake na mtoto wao mmoja.

Ila kitu cha kusimama mbele ya media na kuanza kusema kuwa anatamani kuwa na watoto huko ni kupotosha jamii.

Au anataka msiba uibue ukweli wake. Kuweka faragha mambo yake ni sawa, ila aache propaganda.

Soma pia: Tetesi: - Millard Ayo afunga ndoa kimya kimya
Kufuatana na ulichoandika.

Mtoto ni mmoja na watoto ni wengi.

Mtu mwenye mtoto mmoja anaweza kutamani kuwa na watoto, wengi, zaidi ya mmoja.

Hapo vipi?
 

Attachments

  • VID_20261101_035141_890.mp4
    7.9 MB
Back
Top Bottom