Millard Ayo apata zali la uripota DSTV

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
millard ayo
"Watu wangu wa nguvu, nimepata kazi ya kuwa ripota wa DSTV South Africa nikiiwakilisha Tanzania! Asanteni kwa support watu wangu...Ni habari njema sana kwangu leo hii!!!"

Source:
millard Ayo facebook page!
 
Nampa hongera. Ni kijana anayepiga hatua kila leo. Kipindi chake cha amplifaya ni ubunifu wa aina yake.
 
Nampa hongera. Ni kijana anayepiga hatua kila leo. Kipindi chake cha amplifaya ni ubunifu wa aina yake.

True dat MKuu! ... Nilianza kumfatilia tangu akiwa Wapo FM - - he is a very determined chap !!! ofcoz He has inspired me to 4llow his steps ..!!

WHAT IF I CALL HIM MY ROLE MODEL????????????????????
 
Jana niliona status yake kuwa leo ana surprise kumbe ndo hivyo. I thot anatangaza ndoa. Nways kila la kheri kijana wa akheri sec.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi namfahamu tangu anakaa keko kule machungwa kule bondeni kama unaenda keko mwanga. tumekula wote chips pale kwa sharrif japo hajui mi nani. big up mtu wangu wa nguvu. mia
 
Aeleze vizuri wengi hatujaelewa kazi yake mpya!au anauza ving'amuzi?
 
mimi namfahamu tangu anakaa keko kule machungwa kule bondeni kama unaenda keko mwanga. tumekula wote chips pale kwa sharrif japo hajui mi nani. big up mtu wangu wa nguvu. mia

mneshaanzaaaaa mara ooh nimesomanaye, tumeishi wote mtaa mmoja, tulikuwa tunasali kanisa moja.
Mwenzio anapiga hatua wewe bado unauza miguu ya kuku hapo kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…