Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali huyo ni nani?, tatizo lako unadhani wote wanaoingia hii forum wapo TZAcha kuiga
True dat MKuu! ... Nilianza kumfatilia tangu akiwa Wapo FM - - he is a very determined chap !!! ofcoz He has inspired me to 4llow his steps ..!!
WHAT IF I CALL HIM MY ROLE MODEL????????????????????
Ndio nani huyo?
Hata mimi nashangaa, ni kama kusema kawa ripota wa startimes au digitek. Sijamuelewa
ukimwamini Yesu lazima ufike mbali, kijana amemshika sana kristo. Pia ni mchapakazi, atumii pombe, pia ni mtu wa kazi. nakuombea ufike mbali sana katika hii fani
Jibu swali huyo ni nani?, tatizo lako unadhani wote wanaoingia hii forum wapo TZ
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale
Mkuu we si form6 leaver uliyekuwa unatafuta kazi? Kumbe ushawah kupga mzgo Dstv
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale
Hili ndio tatizo kubwa la sisi watanzania.. wewe ni nani kwani ukishindwa wameshindwa wote?? Acha roho ya wivu