Millard Ayo apata zali la uripota DSTV

mneshaanzaaaaa mara ooh nimesomanaye, tumeishi wote mtaa mmoja, tulikuwa tunasali kanisa moja.
Mwenzio anapiga hatua wewe bado unauza miguu ya kuku hapo kwenu.

siku ntaingia JF halafu nisioneshe tabasamu au kucheka kabisa....ntaenda hospitali
 
Acheni roho mbaya kwan kusoma shule ya kata ndo lugha haipandi? Millard yuko njema alimaliza mbele yangu o level hiyo hiyo shule ya kata but guess tuko level zingine sana kuliko hata hao waliosoma the so called seminary and the like

hata mm nilisoma nae vidudu...ila sina sentesi ya kidhungu yakumalizia kama ww!.
 
Hongera sana dogo. Wewe umefungua njia na wengine watafuata. Ukiharibu ujue umeharibia wabongo na ukifanya vizuri basi umesafisha njia kwa wabongo. Tutakumiss sana kwenye amplifier.

Kwani yeye ndio wa kwanza toka Bongo kufanya kazi Dstv?
Hongera Ayo.........
kaza msuli but kumbuka na kwa Madiba Mgeni chumbani kwa baba yupo pia.
 
Hili zali liliishia wapi?
Make kiingereza pekee anachojua ni "thanks so much for your time".
 
Hili zali liliishia wapi?
Make kiingereza pekee anachojua ni "thanks so much for your time".

Habari Yenyewe Hii Apa !​

Mtangazaji maarufu nchini Millard Ayo
amepata shavu la kufanya kazi na DST
nchini South Afrika akiwa kama ripota wa
matukio ya Tanzania.

Alienda huko kwa
interview maalum na hatimaye kushinda.


Aliandika hivi "watu wangu wa nguvu
nimepata kazi ya kuwa ripota wa DSTV
South Africa nikiiwakilisha Tanzania!
Asanteni kwa support watu wangu!.......ni
habari njema sana kwangu leo hii"


Mtangazaji huyo kijana amekuwa
inspiration kwa vijana wengi.

Tunamtakia kila la kheri katika kazi yake
mpya.

---------------------------------

inachekesha sana ! Yani !
 
Unajua waTz tunasifiana sana kwenye sehemu isiyohitaji sifa, tukisemaga ukweli tunaambiwa mahater.
Ila siku zote ukweli husimama.Tusifie panapohitajika kusifia tuponde panapohitajika kupondwa.
 
aaaah hawezi kutangaza anajisumbua tu pagumu pale eeeeh mi si napajua pale

alipoianza safari ulimtia moyo;alipoonyesha mafanikio unaibua vikwazo.maadui ni wengi eeh ktk maisha haya....
 
Mradi ni dstv, hataa kama anaenda kuwa mshikaa spana kwa sasa. Bado mtoto mdogo sana, ana nafasi ya kukua ndani ya kampuni ya dstv.
(Ila asikue akashindwa kutosha kwenye tv zetu)

Mtoto mdogo mwisho 14yrs.
 
Kila la kheri bro! Angalia usije kimbilia dstv (man u) mwisho wa kakumoyes,heri ubak hapo hapo kata fm (evertoon) itakuwa heri ukipiga mzigo sehemu zote mbili kwani watu wanapenda kipind chako pale kata fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…