Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Aanzishe redio kwa sababu ya kipindi kimoja

Labda Redio ya mtandaoni
 
Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake??
Inawezekana ameshaliangalia hilo akaona kupeana shavu na washirika wengine kunalipa zaidi. Hata mashirika ya simu mara nyingine yanashirikiana minara kuliko kila shirika kujenga minara yake.

Biashara ni ujanja.
Issue kubwa katika kusaka mafanikio ni mafanikio yenyewe na sio njia alizopitia.
 
Yaani hata Mimi nawashangaa! 10B unanunua ghorofa kabisa pale kariakoo na ukawa unapiga pesa kimya kimya!
exactly,na Kama angekuwa na hiyo pesa asingekubaliwa kuajiliwa kwa mshahara wa Laki nne kwa mwezi!
 
Akheri huko wameru walipowatahiri Wajerumani kwa nguvu na kuwaua. Ila wameru bana. Kuna siku nshupu tulikuwa na opereshen ya kusaka magovi yani tukiyapata kwanza tunayashushia mkong'oto wa maana halafu tunayatairi.
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Ukisikia MTU,anautajiri wa kiasi fulani,basi ujue hizo ni jumla ya cash ,asset and other investment.kwa mantiki hyo ,MTU, MTU anaweza kuwa na utajiri wa 6mil $..(13bn+) lkn bank akawa na cash ya 200K $ tu..hela nyingine hana cash wala bank Bali iko attached na asset kama mifugo ya ng'ombe,nyumba ,hotel,ardh,...kwahyo inawezekana kushndikana kufanya matumizi ya 1mil$ wakati unautajiri wa 5mil$+....

Mfano: kanye wakati anautajir wa 1.8bil $+. ...japo na utajiri wake wote huo,bank cash alikuwa na 17mil$... Nyingine ulikuwa kwenye Ye-products.
 
5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Kusaga aliwahi kusema millard ayo anatengeneza hela zaidi ya clouds. Millard yupo pale kama familia tu coz ndo waliomlea na kumpa mic
 
Ila anachosha na matangazo yake ya Palm village huko FB na IG
 
Ni moja kati ya watu nawakubali sana.

God bless You millard familia yako ilikulea vyema pongezi pia ziende kwa wazazi wake.
 
Namkubali sana Millard Ayo,hua namchukulia kama reliable source kwangu kupata habari za uhakika,hata Youtube heading yake huendana na kilichomo ndani ya vdo clip husika,kuna viblog unakuta heading na kilichomo ndani ya vdo ni Mbingu na Ardhi.
Yaani hao wanakera, niliona mmoja kwenye title kaandika Blandina Changula (Johari) hatunaye tena, nilichokutana nacho kwenye content nikachoka kabisa. Kusoma commentts kapolomeshwa matusi ya kutosha. Millard yuko reliable sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…