ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Aanzishe redio kwa sababu ya kipindi kimoja5M USD ni zaidi ya 10B za Kitanzania! Anashindwa nini kuanzisha Radio Station yake?? Ili awe free zaidi na kufanya kazi zake yeye mwenyewe?? Kipindi kama amplifier anachofanya pale Cloud's akihamishie kwenye Radio yake na apige pesa nyingi zaidi??
Labda Redio ya mtandaoni