Hahah
Hahah, ndio nikasema, hata kama ni jina lake, ili mradi amelitumia katika ulingo wa media, si lake, maana yeye hakutaka nickname, ni uamuzi wake, ila kwakuwa kalitumia katika ulingo wa media, basi atalinunua kabla hajakabidhiwa kuondoka nalo, hata Joti kalipa kuondoka nalo. Muulize Harmonize akupe ufafanuzi, ilikuaje wakati wa kuhama WCB, au Rayvanny, kinachomkwamisha kuhamia NLM music mazima, ni nini?
Hivi nani taahira akupe platform ya kukuza account zako binafsi for years and years bure tu, taahira huyo anapatikana wapi?!
Muulize Zuchu, ndio anaingiza pesa nyingi kuliko wote WCB, lakini hata gari ni hadi azawadiwe na Diamond, hakuna mjinga akukuze kama Zuchu namna hii alfu leo ubame pua useme unaondoka, Zuchu ataacha kila kitu pale WCB..., hata hilo jina la Zuchu ni mali ya WCB, hakuna mjinga wa hivyo....
Ule muda Ayo anaotumiaga kuambia watu waende kuangalia count down kwenye platform zake si bora waweke matangazo ya pepsi tu [emoji23][emoji23][emoji23]