Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

Huyo Bdozen kama amehama navyo means amemalizana na muajiri wake wa mwanzo, wame-settle accounts. Pia nazungumzia assets zilizojengeka kwa kutumia rasilimali za muajiri husika, kama Masoud amekuwa akiwaambia wasikilizaji wa radio ya muajiri kwamba waende IG na kwenye platforms zake wakaangalie katuni zake, basi na yeye inamuhusu hii, kama hafanyi hivyo, basi haimuhusu.
 
Unayo yazumza ni very hard kuprove inshort wafanyakazi wote wa Clouds huwa wanasema mtu yoyote anaweza kuwacheck kupitia IG zao personal au za Radio na huwa wanatoa feeback interchangebly kutoka kwa Social media zao na Social media za ofisi pia
 
Unayo yazumza ni very hard kuprove inshort wafanyakazi wote wa Clouds huwa wanasema mtu yoyote anaweza kuwacheck kupitia IG zao personal au za Radio na huwa wanatoa feeback interchangebly kutoka kwa Social media zao na Social media za ofisi pia
Hapa sio suala la kuprove chochote, ni kujenga hoja ili hata hakimu akisikiliza aone kweli kuna haki imeminywa. Huo muda wa kuwaambia wasikilizaji waende kuangalia Social platforms zao ungekuwa ni muda muafaka wa kuweka tangazo la pepsi 😂, hakuna cha bure, lipa ndio uondoke na akaunti ‘zako’, hutaki tukutane mahakamani.
AY na FA walilipwa bilioni 2 kwa kujenga hoja tu, na si kingine.
 
Sallam anaingiza fedha kiasi kama faida kwenye hizo media ukilinganisha na mapato ya Millard?

Watu mnadhani kufungua Media na kuanza kupata faida ni kitu kirahisi?..
 
We ni Mbishi
 
Hilo Neno Billionea kwa Tanzania Limekosa Maana....Arusha Kule Kila mtu anajiita Bilionea akifa ndio usiseme ohh Bilionea flani afariki..Hivi Mnajua Bilionea Nyie au mnaleta Utani???
 
Per month tu anakusanya nyingi. Kuna mada ilisha wahi kuwekwa humu. Maxmelo nae alikuwemo kwenye top 5 kama sikosei kati ya wanaofanya vyema kwenye vipato vya kila mwezi kupitia mambo ya mitandao
Kumbe mitandao inalipa balaa
 
Wamelipwa lini?
 
Sallam anaingiza fedha kiasi kama faida kwenye hizo media ukilinganisha na mapato ya Millard?

Watu mnadhani kufungua Media na kuanza kupata faida ni kitu kirahisi?..
Nimeuliza hv ni wapi Millard Ayo ameidhinishwa kuwa ni billionare ,?? Kama kuna source ya kuaminika , nielekeze nikajisomee...issuevya sallam nimeenda mbali Tu kuuliza kama ni billionare anashindwa vip kuanzisha media yake mana ana coverage ya kutosha na soko analo mkononi? Akina Sallam wamefanya hvyo hata kama anawazidi hela , japo sina uhakika kama anamzidi na sidhani
 
Amplifier ndio itabaki jina la clouds ila millard ni jina lake la kupewa na wazazi na ile ni independent organisation sema jmaa mjanja sana anatumia clouds kuipaisha account zake na kujipigia promo na ata clouds nao sasa hv wanamtumia millard kupata wasikilizaji weng.
 
ana hela nzuri, stable, hana njaa

ila hana utajiri huo unaousema!!!!!! acha uongo

deal gani unalifahamu la matangazo lilimwingizia sh ngapi?

kwa heshima, ustaarabu, kujishushe ..Millard anastahili kabisaaaaa
 
Natambua mafanikio makubwa aliyonayo Ayo kwenye nyanja ya habari online

Lakini UsD Milioni 5 jamani zisikieni na kuzisoma tu
Hii ni zaidi ya sh Bilioni 10 za madafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…