Millard Ayo blog kuwa na ubaguzi wa habari. Je, tutegemee Millard Ayo kufa kama michuzi blog?

Millard Ayo blog kuwa na ubaguzi wa habari. Je, tutegemee Millard Ayo kufa kama michuzi blog?

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Miaka ya nyuma hasa utawala wa kikwete Jf ilikuwa inashindanishwa na michuzi, in short, system ilikuwa inataka kuuwa Jf na kuifanya michuzi bora zaidi lakini mwisho wa siku kila kitu kilikwama Michuzi blog ikajifia kifo cha mende na Mjegwa blog ikajifia kifo cha mende

Sasa utawala huu unatumia Millard Ayo kufanya propaganda masikini huyu Kijana namuhurumia maana siku si nyingi hii blog yake ikajifia kama blog nyingine (Mark my words)

Millard Ayo anatumiwa na system sana habari zake ni kukandamiza upande mwingine, mfano ipo mingi lakin kwa uchache kukiwa na habari nzuri ambayo in favour wapinzani hatoi kwenye youtube channel yake au blog yake hata Instagram akaunti yake, hata habari za magazeti ukiwa in favour upande wa pili(upinzani) hilo gazeti hataliweka kwenye blog yake

Pia utawala huu umekuwa unatumia yeye kama yeye ndio anapewa habari lakin anatoa habari ambazo zimechujwa in favour of utawala huu na kukandamiza wengine

Millard Ayo ni kijana mdogo mtafutaji, haya yote ni mapito na karma is a b**ch. Je tutegemee hii blog kufa kifo cha mende kama Michuzi mix?
 
Wenzenu CCM wana Chanel 10, nyie mna nini? Ifike mahali muache kutegemea fadhila za mtu. Millard Ayo ana vision na mission zake msimpangie mnachotaka nyie.
 
Inasemekana Millard ana biashara zake zinazompa pesa nyingi kuliko hiyo blog na youtube yake. Ila maisha yake kayafanya ya siri mno.
 
Clouds fm kwani kwa sasa ina hali gani?? Hawajifunzi eeh!! Ukiambatana na sisiem lazima laana ikupate.
 
Fungua na wewe blog yako weka habari unazotaka.
 
Back
Top Bottom