Digoxin JR
Member
- Jul 1, 2014
- 83
- 14
Unataka atumbuliweee ahamie kwakoo eeehhJaman hiv kumbe ukiingia bifu na clouds unakua na bifu na wafanyakazi pia? Millard ayo karibia kla vdeo mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye ayo tv lakin hii vdeo ya the ndi ndi ndi hakuweka kwanin sasa??? Mi sielew!!
Penda muziki, usipende wanamuziki. Utajiumiza bure kwa visivyo na tijaNilikuwa namzima sana JD lkn baada Ya kuteam up na Kiba Kuwa against mafabikia Ya mond kwasababu Ya kujiona eti wao ni waka le and they own music ind nilimchukia Sana.
Usisahau muhusika aliwahi Toa zuio hataki kazi yake iende hewani kupitia hiyo media anayofanyia kijana. Sasa akibeba hata Yeye as individual inaweza kumcost kuepusha hayo ni kupiga kimya. Ni mtazamo wanguJaman hiv kumbe ukiingia bifu na clouds unakua na bifu na wafanyakazi pia? Millard ayo karibia kla vdeo mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye ayo tv lakin hii vdeo ya the ndi ndi ndi hakuweka kwanin sasa??? Mi sielew!!
Usisahau muhusika aliwahi Toa zuio hataki kazi yake iende hewani kupitia hiyo media anayofanyia kijana. Sasa akibeba hata Yeye as individual inaweza kumcost kuepusha hayo ni kupiga kimya. Ni mtazamo wangu
Wasalaaam
Wajukuu watoke wapi??Huyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.
Jide anatisha, hawezi kuisha leo. Jide ni kama wine inakuwa bora zaidi siku zinavyozidi kuongezekaHuyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.
Huyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.
Upo YouTube sio lazima uitazame kwa AyoJaman hiv kumbe ukiingia bifu na clouds unakua na bifu na wafanyakazi pia? Millard ayo karibia kla vdeo mpya ya wimbo huwa ana upload kwenye website yake na kwenye ayo tv lakin hii vdeo ya the ndi ndi ndi hakuweka kwanin sasa??? Mi sielew!!
Huyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.