accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,746
Weka akiba ya maneno mkuu..hatuzijui kesho zetu!!
Wajukuu watoke wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajukuu watoke wapi??
Kwani Blog ya Millard ni Sawa na Media ya Clouds?Usisahau muhusika aliwahi Toa zuio hataki kazi yake iende hewani kupitia hiyo media anayofanyia kijana. Sasa akibeba hata Yeye as individual inaweza kumcost kuepusha hayo ni kupiga kimya. Ni mtazamo wangu
Wasalaaam
Si alisema muziki basi anaenda kuishi ujerumani?Huyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.
Si alisema muziki basi anaenda kuishi ujerumani?
Yatamkuta ya kiba aliamua eti kupumzika mziki,kurudi kakuta watu wameshika nafasi na hawataki kutoka,kaungana na wema lakini wapii
Mimi nimeipakua kutoka you tubemkuu hiyo video hata youtube haipo,,naona job discription ya clouds inazuia wafanyakazi wake na blog mbalimbali kuwapa promo wasanii wenye bifu nao.
iliyoko kwenye youtube sio yenyewe ,,og ipo kwenye bio yake.Mimi nimeipakua kutoka you tube
Okiliyoko kwenye youtube sio yenyewe ,,og ipo kwenye bio yake.
Bifu la jide na Clouds si dogo mana akishasema hata akifa Ruge asiudhurie mazishi yakeJide alipiga marufuku CMG pekee, sio ofisi binafsi za wafanyakazi wa CMG, so kilichotokea ni woga tu wa Ayo na hasa kutoonekana msaliti wa bosi wake.
Na zaidi Ruge anajua kama hadi sasa Jide ana rafiki zake wako CMG na huwa wanampa taarifa nyingi za kinachoendelea pale dhidi yake, ndio maana kila mmoja anaogopa kuonekana yeye ndiye anayevujisha issue kwa Jide.
Ova
Bifu la jide na Clouds si dogo mana akishasema hata akifa Ruge asiudhurie mazishi yake