Millard Ayo hakuongelea kabisa ujio wa wimbo wa Ndindindi kwenye website yake

Usisahau muhusika aliwahi Toa zuio hataki kazi yake iende hewani kupitia hiyo media anayofanyia kijana. Sasa akibeba hata Yeye as individual inaweza kumcost kuepusha hayo ni kupiga kimya. Ni mtazamo wangu
Wasalaaam
Kwani Blog ya Millard ni Sawa na Media ya Clouds?
 
Jide yuko vizuri sana ukiisikia ndi ndi ndi iko poa sana
 
Ngoma ya ndi ndi ndi imewika sana na clouds hawapgi, je na wao wangekua wanapga ingekuaje sa??
 
Huyo mama kaisha zake, nafikiri nimuda muwsfaka kwske kuachana na muziki. Afanye kazu ya bibi kulea wajukuu.
Si alisema muziki basi anaenda kuishi ujerumani?
Yatamkuta ya kiba aliamua eti kupumzika mziki,kurudi kakuta watu wameshika nafasi na hawataki kutoka,kaungana na wema lakini wapii
 
Huyu dada nilikuwa namfagilia sana,lakini tangu ameingia kwenye ugomvi usio na sababu na Clouds + kumuimba Gadna kwenye kila nyimbo + kusema yeye ni timu kiba ( maana usipokuwa wa hivo usimshabikie) = kwa sasa kwangu ni BIG NOOOOOOOOO.
 
Si alisema muziki basi anaenda kuishi ujerumani?
Yatamkuta ya kiba aliamua eti kupumzika mziki,kurudi kakuta watu wameshika nafasi na hawataki kutoka,kaungana na wema lakini wapii

Kuna kitu kimoja ambacho wengi hawaelewi, kila mwanamuziki ana nafasi yake kwenye muziki, kwa maana hata akifa watu watamiss kazi zake.
Sasa hizi kauli za sijui nafasi yake kakuta imezibwa huwa naona kama zinatoka kwa watu wasiokuwa mashabiki wa muziki, ila ni wale fuata mkumbo tu.
Hata tukiwa Club huwa tunacheza ngoma za wanamuziki hata zaidi ya elfu moja, na kila wimbo una utamu wake wa asili toka kwa mwamuziki husika.

Ova
 
Unataka arudi kijijini? Ruge atamfukuzia mbali
 
Bifu la jide na Clouds si dogo mana akishasema hata akifa Ruge asiudhurie mazishi yake
 
Muoga huyo anaogopa kutimuliwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…