Mtu wa 2? Hehehehe hiyo course sio anything special wabongo walioenda ni wengi balaa. Entrepreneur yeyote akitaka anajiunga kirahisi tu hakuna special invitation wala nini
Unamaamisha wampeleke jiwe? Sioni kama ana any potentials za kumfanya akumbukweUS Embassy please, kama mnapitia comments zetu humu tunaomba mumpeleke na huyu John. Tunaomba please and please.
Lakini ulisema ni Nyerere na ayo sasa kapatikana muuza mchele. Huoni aibu kuudanganya umma! We jamaa utoto unakuzidiNi jambo zuri sana
Hata mwaka huu hayuko mwenyewe, wala sio wa pili baada ya Nyerere
Yupo na Khadija Jabri yule dada analima mboga Iringa huko
Sent using Jamii Forums mobile app
NADHANI ANKO WANGU STIVU_NYERERE ATAENDA KUSOMA HIYO PROGRAM SOON.Millard Ayo anaweza kuwa mtanzania wa pili baada ya Mwl Nyerere kwenda Marekani kwenye course ya International Visitor Leadership Program mwaka 1960.
Course hii inatolewa kwa International leaders kwenda Marekani kujifunza kuhusu uchumi, siasa, jamii na tamaduni za Marekani.
Course hii iliyochini ya ofisi ya Rais wa Marekani, nafasi zake hutolewa na balozi zake duniani kote lakini kwa watu maalum wanaonekana kuwa watakua viongozi wa baadae au wa sasa.View attachment 1051629
Hawa ni baadhi ya viongozi mashuhuri waliopata nafasi ya kusoma Course IVLPView attachment 1051636
Sasa huyu aliyesema ni Nyerere na Miladi Ayo ni muongo mi kuna jamaa namjua alikwenda hiyo kozimwaka jana nina friend yangu anaitwa angel .... alipelekwa na us embassy hiyo course.. ni mdada tu anauza mchele wake safi..
mtu yeyote ukiwa unajituma us wanakuendeleza.. wakiona una potential..
us wanapenda sana vijana wawe na vimiradi vyao binafsi... hata kina mike wa jamiiforums washaenda hizi