Mtu wa 2? Hehehehe hiyo course sio anything special wabongo walioenda ni wengi balaa. Entrepreneur yeyote akitaka anajiunga kirahisi tu hakuna special invitation wala nini
mnaomba wengi.. lakini mnashindanishwa.. maana mnalipiwa nauli na malazi na us embassy.. lazima wawashindanishe kupata the best kwa huo mwaka.. ila ipo kila mwaka