Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
454
Reaction score
636
Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.

Screenshot_20240127-160344.jpg
 
Yawezekana kuna tatizo katika malipo, sidhani kama Millard Ayo Hana hela ya kulipa!
 
Si mara ya Kwanza hii kutokea hasa kama ni routine member wake ni kawaida atarudi hewani huwa inatokea sometime in a year .japo nimepunguza kuwa mtu wake hasa baada ya ku behave kama mainstream wengine .
 
Back
Top Bottom