majebsmafuru JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 454 Reaction score 636 Jan 27, 2024 #1 Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
M Mtanzania2020 JF-Expert Member Joined May 23, 2020 Posts 817 Reaction score 1,752 Jan 27, 2024 #2 Alipe tu ela ya watu
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Jan 27, 2024 #3 UNALIPIAJE
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 27, 2024 #4 Mtanzania2020 said: Alipe tu ela ya watu Click to expand... Hakuna Namna
Bullshit JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,357 Reaction score 1,596 Jan 27, 2024 #5 Labda hajalipia hosting
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 9,604 Reaction score 8,812 Jan 27, 2024 #6 Yawezekana kuna tatizo katika malipo, sidhani kama Millard Ayo Hana hela ya kulipa!
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,618 Reaction score 4,605 Jan 28, 2024 #8 Si mara ya Kwanza hii kutokea hasa kama ni routine member wake ni kawaida atarudi hewani huwa inatokea sometime in a year .japo nimepunguza kuwa mtu wake hasa baada ya ku behave kama mainstream wengine .
Si mara ya Kwanza hii kutokea hasa kama ni routine member wake ni kawaida atarudi hewani huwa inatokea sometime in a year .japo nimepunguza kuwa mtu wake hasa baada ya ku behave kama mainstream wengine .
L Leonardo Harold JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 1,088 Reaction score 2,122 Jan 28, 2024 #9 alipe maana nayeye analipwa... ndio dunia inavyoenda
T THE LINE JF-Expert Member Joined May 19, 2023 Posts 202 Reaction score 308 Jan 28, 2024 #10 Du we jamaa unauliza swali ambalo majibu yake unayo?.