Millard Ayo kwa kumpa airtime ya kutosha Zumaridi kuongea stori za kusadikika ni kumkosea Mungu na sisi Watanzania

Millard Ayo anaharibu credibility yake kisa hao manabii feki wanampa mkwanja mrefu kuoneza uongo wao.

Giodevi alisema alitokewa na yesu mara zumaridi naye alionana na mungu halafu wote wanamtumia millard.
 
Ni mwehu pekeyake anaweza kumuamini yule mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Machoni tu anaonekana ni mwongo

Yaani amegeuka comedian [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna wajinga wengi tu, wanamuona Kama mungu wao pale mwanza
 
Uhuru wa habari na dini usiingiliwe kwa sababu tunataka kusikia yale tunayopenda tu.
Atakuja mtu hapo atasimulia namna gani anapenda ushoga na kipindi kitarushwa kwa kua kalipa
 
Sipati picha ingekua Muislamu ndo kayazungumza haya

Nabaki kusoma comments tu
 
Nchi ina uhuru wa kuabudu na kuchagua, muache afanye ww r mambo yake, mwenye akili ataamua amuamin au asimuamini...

Muache millard afanye kazi yake,ndio inaendesha maisha yake, kikubwa avunji sheria za nchi

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Serikali haihubiri dini wewe! Suala la yeye ni Mungu au ni Zumaridi mwachie yeye
 
Millard Ayo na Zumaridi wote wangetupwa mandarbess kwa kupotosha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…