Uhuru wa kuiabudu Wala hauingiliwi na katiba kuwa wise please Kuna vitu viwili ujueSasa Milard azuiwe kwa sheria ipi?Kama Waganga wa kienyeji wanalipia vipindi na wanajimwambafy itakuwa Zumaridi.
Huo ndio Uhuru wa kuabudu uliopo kwenye Katiba yetu,tuvumilie tu
[emoji16][emoji16]Eti Petro alimtongoza na akaamua kumchomolea. Nyie
Halafu ukicheki ile clip ni wakavu mno usoni wapo serious sana na kazi yao.Millard Ayo na Zumaridi wote wangetupwa mandarbess kwa kupotosha watu
Siku akija kutangaza ushoga unafaa kwenye jamii mtulie hivyohivyo.Serikali haihubiri dini wewe! Suala la yeye ni Mungu au ni Zumaridi mwachie yeye
Umenikumbusha magufuliWasukuma wengi wanajiamni mno ata kwenye jambo la kishamba wao ni kujiamn tu
Kweli aiseMillard amemkosea Mungu.
Amekinzana na neno la Mungu.
neno lipi? la mungu yupi?Millard amemkosea Mungu.
Amekinzana na neno la Mungu.
Tengeneza hoja yako vizurineno lipi? la mungu yupi?
Kwa hiyo zumarid ni biblia??Kwa hiyo biblia ituombe radhi kwa kuandika habari za Sodoma na Gomora na mambo yote yaliyomchukiza Mungu?
Walimgongesha mpaka akili ilikaa sawaTake marungu ya maafande wakati anakamatwa hayakumuacha salama kichwani
Kweli kabisaWaumini wake nao wapimwe Akili utakuta zipo mbili
Ndiyo Zumarid sio biblia, hata mimi nampinga. Ila swali langu ni kwmaba serikali inahusianaje na biblia?Kwa hiyo zumarid ni biblia??
Unaleta ushabiki wa simba na yanga mpaka kwenye Mambo haya.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app