Millard Ayo kwa kumpa airtime ya kutosha Zumaridi kuongea stori za kusadikika ni kumkosea Mungu na sisi Watanzania

Millard Ayo kwa kumpa airtime ya kutosha Zumaridi kuongea stori za kusadikika ni kumkosea Mungu na sisi Watanzania

Sasa Milard azuiwe kwa sheria ipi?Kama Waganga wa kienyeji wanalipia vipindi na wanajimwambafy itakuwa Zumaridi.

Huo ndio Uhuru wa kuabudu uliopo kwenye Katiba yetu,tuvumilie tu
Uhuru wa kuiabudu Wala hauingiliwi na katiba kuwa wise please Kuna vitu viwili ujue

1; secular state
2:non secular state soma uvuelewe na sio kulewa
 
Kwa hiyo biblia ituombe radhi kwa kuandika habari za Sodoma na Gomora na mambo yote yaliyomchukiza Mungu?
 
[emoji38]
IMG-20230320-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom