Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16] tutafika mbinguni tumechoka sanaMungu
Jua
Primary school
Jua likaja usiku
Likasema nami
Watu wamevurugwa jaman
[emoji16] aisee hatari sanaAnaangallia market
Anajiita mungu wa mwanza huyomungu??
We lako lipo wapiHata wewe fungua kanisa ukatazwi, Mungu ajashindwa kujipigania wala kuhitaji msaada wa Mwanadamu
Wewe hapo wivu upo wapiPunguza wivu utaishi maisha safi sana
Ushasema yesu, Sasa zumaridi ni mungu wakoKwahiyo hadithi ya yesu kupaa kwenda mbinguni kwako ni sawa?
Dah hatari kabisaAnajiita mungu wa mwanza huyo
Ungejua na yeye millard kapatahela kupitia hiyo intavyuu ..ni biashara ..win win situation..relax
Ni mwehu pekeyake anaweza kumuamini yule mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaweka interview ya mgonjwa WA akili ...cha ajabu mgonjwa atapata wafuasi Wengi zaidi..
Labda tatizo ni wagonjwa WA akili kuwa Wengi zaidi
Noma sana!Rick Ross kwenye wimbo wake wa Freemason alianza na intro “This is for the soldiers that see the SUN [emoji3508] at MIDNIGHT, ya dig
Let me slow down
(It's so incredible)”
Inawezekana zumaridi Ana undugu na Rick Ross