Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Hiki ni kichekesho

Google Adsense hawawezi kumlipa kiasi hicho.

Tena Audience yake ni wabongo,RPM yake itakuwa ndogo sana
 
Acheni kuwapotisha vijana na wasiojielewa.. kwa kipato hicho ansingekuwa anasaini kila siku jioni kwa Ruge (Clouds) na kusubiri mshahara Mwisho wa mwezi.. kwa ufupi hiyo faida hata clouds hawaingizi kwa mwezi
 
Nimeisha kusema katika watu nawaokubali huyu Dogo mmojawapo!!!!!!
 
Millard Ayo anajituma sana katika kazi yake, ni haki yake kula huo mkwanja habari yoyote ile ukiisikia tetesi tetesi... Ukienda millard ayo. Com lazima utaikuta... Big up broo acha sisi tuendelee kulala tukisubiri increment kwa Magu sijui mwaka gani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na wale wanaotuambia tufunge kuku 10 au tulime matikiti, bila kutuambia soko lipo wapi.
 
Ungempa mfano wa kokakola.
 
Watanzania bwana kwa uongo?? Hizi story peleka kwa wajinga wenzako kwanza policy za YouTube hawaweki wazi hata siju moja pesa ngapi wanalipa hawa ma YouTube stars Sasa wewe hizo data umezitoa wapi???
 
Viewers 1000 wanalipa 0.5 USD ..piga hesabu viewers 1m kiasi gani..simple math
 
Kumbee. Loh. Ivi ameoa kweli. Niwe shemeji yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Mmh mbona umeniwahi kama vipi atuow wote[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…