Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Kwanza watu munadanganyana najua kila kitu kuhusu Google adsense YouTube monetization system huyo jamaa kulingana na views za video zake,keywords,ctr na nchi alipo awezi kupata zaidi ya 3000 dollars kwa mwezi kulingana na idadi ya video anazopublish kwa mwezi
Alafu eti mnasema cpm ni 7.9$ per 1000
Huu ni uongo anayelipwa zaidi YouTube duniani ni Felix kljeberg mmiliki wa chanell ya pew die pie huyu analipwa dollar 2.5 kwa views 1000 mimi mwenyewe ninachanell yangu YouTube inaitwa teco gamer na views wote ni wa marekani na nalipwa dollar 1.26 kwa views 1000 na actually napata views nyingi kuliko ayo na napablish video 3 kwa week kuhusu magemu na namna ya kucheza kuhack coinscoins etc na nalipwa Zaidi ya dollar elfu 2500 tu ambayo aizidi million tano
So tuache kudanganyana million amsini munafikiri masiala eti cost per mile 7.9 aizidi Ata dollar 3 we fikiria iwapo adwords ukilipa dollar 5 tangazo lako linaonekana(viewed) Mara 2000 je yule mwenyewe video YouTube atapa dollar ngapi kwa hiyo 2000 views kama cyo dollar 2 au 3 kwaiyo kila 1000 views ni dollar 1 au 1.5
Watu tunajua nyinyi siku nyingine musituletee upuuzi kama huu Tena mmenikela kwa kusema cpm =7.9$
Bro unatafuta sifa jamii forum??
 
Sasa kama angekua anapata iyo 80m kwa mwezi si ungekuta ni bilionea sasa mbona bado mganga njaa,,??
Wabongo bhana
 
Ila Millard bwana anajituma sana na kazi zake hata Online TV yake kukiwa kuna Matangazo Mubashara inakuwa na Quality nzuri kushinda hata TBC
mkuu unataka kufanya watu watumbuliwe aseee.....
 
Back
Top Bottom