Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

See you again ya Wiz khalifa in viewers 3.1 bilion ..huyu hata mziki aache tuu maana sio kwa mipesa atakayopata
 
Uyu angefungua station yake au atengeneze vipind auze...
Pesa anayopata, mgawanyo wake mnaujua
Maana pale Lazima awa wapate mgawo wao 1.clouds media
2. Ruge mtahaba
3. Joseph kusaga
4. Kulipa wafanyakazi
5. Kulipa pango ya ofisi pale
6. Kulipa vibali vya kazi
7. Kulipa gharama za usafiri wakati wa kutafuta habari
8. Kulipia gharama za ulinzi wa vifaa wakati wa kazi na wakati usio wa kazi


Ukisha yajua hayo ujue kwamba kazi ipo uenda iyo pesa ikawa aitoshi kabisa kuendesha shughuli za kampuni
 
Ungekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
Millardayo mtani wetu yule
Miladi ayo ni mpare pesa yake aiwezi kuonekana
 
Kumbee. Loh. Ivi ameoa kweli. Niwe shemeji yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ujana haubagui.[emoji53][emoji53]
Unataka kuwa shemeji yetu. Na iyo MIMBA kwenye AVATAR yako utaipeleka akaileee au?
 
Maelezo Mengi Sana lakini hujachambua, mwanzo hauonekani wala mwisho hauonekani
 
Analipa kodi?
 
Millard Ayo anamiliki Vifaa vya Redio na Tv kabisa. Akiamua kuweka Transmitter tu anaruka hewani. Sema kuna kitu anasubiri kitimie.
Anajitambuwa, anaenda vizuri, abarikiwe, bidii tu na kujichanganya, alifanya bora kuondoka ITV, naona kulikuwa kunambana sana..
Nakakumbuka kalianza kutangaza michezo ITV, leo kanaweza kuwa na TV station yake! Kweli kupiga kazi kwa bidii na maarifa lazima ufanikiwe tu...
 
wakati yeye anaingiza m50 kila mwezi youtube we unatumia pesa zako za madafu kununua GBs kila siku
 
50M hadi 80M
It can't be serious
Hizi stori zina ukakasi
Ni kweli analipwa vizuri ukilinganisha na jitihada anazozifanya na weledi wake katika tansia ya habari.
Punguzeni porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…