Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Je lemutuz yy anavuna kiasi gan mkuu?, coz anajiita king of all social media bongo

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Kama hamna uhakika msiwe mnakuja tudanganya hapa
Youtube hailipi kwa views au kwa idadi ya watu walio view content yako

Youtube wanalipa kwa matangazo yanayotokea kwenye video uliyoweka
Piga hesabu sasa ni matangazo mangapi ya youtube unayakuta kwenye video za millardi au diamond

Kwa ad views 1000 mtu hupata approximately 7.9 dollars ambazo hapo youtube wanakata 45pc wanaichukua wao
Ili upate angalau dollar 3000 watakiwa upate viewers watakao view ads kwenye video zako zaidi ya viewers milioni moja

Kuna youtube superstars wenye subscribers zaidi ya milioni wanaishia hicho ulichosema kuhusu diamond na hiyo ni hela ya mwaka mzima sio ya mwezi kama unavyotaka danganya watu
 
Ww unalipwa sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…