Habari watanzania wote.
Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo.
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na kilichopangwa nyuma yao.
Naombeni niwaambie ukweli, yule maulid anaweza kusamehewa, lakini nyie nawaambie nyie, hamtasamehewa.
Huwezi kukubali kutumika kufanya propaganda ya kijinga juu ya uhai na mateso juu ya nafsi ya mtu.
Hata mkitumika vipi, hata mkilindwa vipi na dola, hata mkipata vipi fedha, nawaambieni kwa imani na hakika, anguko lenu, halina muda , hatuwezi kushuhudia nchi ya ajabu namna hii. Kwamba mtu atendewe unyama, na basi bora unyamaze, usimtetee, ila unageuka kuwa fisi kula hadi mzoga kupoteza haki ambayo kama muathirika angeweza japo kusalia nayo.
NB: Anguko lenu ni la asili, mmecheza pasipotakiwa kucheza.
Ayo, Bado unayo nafasi, unaweza kufuta hii na kuomba msamaha.
Na wewe Jambo, unaweza kufuta hii na kuomba msamaha.
NAJUA MNAAMINI NGUVU YA WALIOWATUMA, MMESAHAU NGUVU YA ASILI.
Hii tenda mngeikataa.
Hii sio Tanzania ninayoijua.