20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Umeandika kwa hisia kidogo badala ya kutafakari fact na possibilities, ngoja nikupitishe kidogo.Habari watanzania wote.
Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo.
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na kilichopangwa nyuma yao.
Naombeni niwaambie ukweli, yule maulid anaweza kusamehewa, lakini nyie nawaambie nyie, hamtasamehewa.
Huwezi kukubali kutumika kufanya propaganda ya kijinga juu ya uhai na mateso juu ya nafsi ya mtu.
Hata mkitumika vipi, hata mkilindwa vipi na dola, hata mkipata vipi fedha, nawaambieni kwa imani na hakika, anguko lenu, halina muda , hatuwezi kushuhudia nchi ya ajabu namna hii. Kwamba mtu atendewe unyama, na basi bora unyamaze, usimtetee, ila unageuka kuwa fisi kula hadi mzoga kupoteza haki ambayo kama muathirika angeweza japo kusalia nayo.
NB: Anguko lenu ni la asili, mmecheza pasipotakiwa kucheza.
Ayo, Bado unayo nafasi, unaweza kufuta hii na kuomba msamaha.
Na wewe Jambo, unaweza kufuta hii na kuomba msamaha.
NAJUA MNAAMINI NGUVU YA WALIOWATUMA, MMESAHAU NGUVU YA ASILI.
Hii tenda mngeikataa.
Hii sio Tanzania ninayoijua.
1. Taarifa za huyo binti kuhusu eneo analo probably limesikika wkt akiulizwa na watesi wake ktk ile video. Je, una hakika alitoa jibu sahihi, au alitamka ili kuwa ridhisha na kwa woga akaona adanganye ili kuhofia sinto fahamu kama:
i. Kuogopa kufatiliwa na hao watesi wake na kupewa tena mateso.
ii. Kuogpa mtandao wa hao watu wa kumchafua, unahisi alikuwa haoni Camera, what if akawaza hao watu wanaweza watumia marafiki zao wa anakoishi na kumfua ktk level ya mtaa kabisa?
iii. Kulinda jina au image ya ndugu zake wasije kutana na uchafu wa alio fanyiwa. N.k
Tumeona hata wauaji, wezi wakiwa ktk mateso makali ya vipigo na damu bado kuna baaadhi ya taarifa huzipindisha ili kunusuru nafsi zao, either wakikubali wasichofanya au wakiwapa majibu ambayo muulizaj na mtesaji anayo yahitaji au kuficha baadhi ya taarifa ili asiwe kapoteza kila kitu, KTK YOTE HAYO BADO NI UONGO.
2. Ayo na Jambo media. Yule ni mbongo, tukio limeonekana , namna ya kusema watumike kuficha kwa hoja tu ya kuwa eti akai Huko buza ni hoja ndogo sanaa, ni kama kufukia Shimo kwa kisigino. Maana hii kesi ni jinai hata kama huyo dada asingetoa taarifa zake au akawa amejiua, kwa namna yoyote ile asitoe ushirikiano basi informations na ushahidi wote Upo, na Haihataj kuhangaika sana kuificha kwa namna hii.
Mbinu pekee ya wao wangeweza kutumika kwa kupika info za uongo kupindisha kesi kuipunguza ukali mfano:
a. Haikuwa ubakaji, wote mdada na wanaume walikuwa recruited na kampuni za kurecord filamu za uchi kuandaaa video clips za Amateur porn, so scenario ilitakiwa kuwa kutumwa kubaka N.k na clip imechezewa Labda Nchi gani huko. Kama system ingeamua ingelikuja na huuu mchezo harafu jamaa wachezeshwe hukumu based on this story.
b. Millard,wangetumika kuto cover kabisa hiii habari, ni kama kipindi cha DP WORLD, hatukuwa tunaona cheche zake na wengine wakichezesha hizi habari...
My take: watu wanawaza labda huyo afande atakuwa mkuuubwa, yawezekana hata sio mkubwa kihivyoo, if so ungeona michezo mikali kama ya wale wasio julikana, sio hao wanachukuana ktk mageto ya local local na maamuzi yasio smart wana jerecord hadi nyuso zao..