Millard ayo nenda english course

Millard ayo nenda english course

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mh,nasikiliza clouds apa millard yupo south hospital alipolazwa m to the p,nasikia ndugu zake wanapiga ung'eng'e millard na yes na no kila wakat mweh kumbe lugha imegoma.jamaa ni mmoja kati ya watangazaji hot kwa apa town,yupo makini sana na kazi yake na anaiweza,ila clouds wamsaidie hat kumsomesha nje ili a improve his language jaman duh,sio kumtumia tu mpeleken shule jamaa mkali ana confidence angejitahid lugha tu bas atafika mbali sana,nimeshangaa duh ila nimependa confidence zake mwanzo mwisho yes no tu
 
Kwani kama Kiingereza chake siyo kizuri ubaya uko wapi?
 
Acha maneno zako wewee,kwan Kiingereza kitu gani?
Kwahvyo yoote waliyokuwa wanaongea umesikia majibu yte ni yes/no. Km kiingereza kibovu we kinakutatiza nn.
 
Acha maneno zako wewee,kwan Kiingereza kitu gani?
Kwahvyo yoote waliyokuwa wanaongea umesikia majibu yte ni yes/no. Km kiingereza kibovu we kinakutatiza nn.

na wewe mwenyewe unajibu umetatizwa na nini
 
Mh,nasikiliza clouds apa millard yupo south hospital alipolazwa m to the p,nasikia ndugu zake wanapiga ung'eng'e millard na yes na no kila wakat mweh kumbe lugha imegoma.jamaa ni mmoja kati ya watangazaji hot kwa apa town,yupo makini sana na kazi yake na anaiweza,ila clouds wamsaidie hat kumsomesha nje ili a improve his language jaman duh,sio kumtumia tu mpeleken shule jamaa mkali ana confidence angejitahid lugha tu bas atafika mbali sana,nimeshangaa duh ila nimependa confidence zake mwanzo mwisho yes no tu

hata kama we inakuhusu nin
 
Mtoa mada nakubaliana na mapendekezo yako lakini sioni ubaya kama atajinoa zaidi ktk Kiswahili maana nayo pia ni lugha, labda nikuulize swali la kizushi, hivi unawakumbuka/unawafahamu watangazaji kama Salim Kikeke (BBC)? Charles Hillary Nkwanga (BBC)? Flora Nducha (zamani BBC kwa sasa sijui)? Vicent Makoro (VoA)? na wengineo. Je, hawa wote wamebobea ktk Kiingereza tu?

Jamani mimi naona Lugha zote ni sawa.
 
Tusiwe watumwa wa lugha za watu,kila mmoja aitukuze lugha yake,ht rais wa china kahutubia dunia lkn kapiga "nihao.....
 
ukute ndo hao hao walifuata kinyume nyume huko sauth
wakafanya ya kufanya leo wako mstari wa mbele kuzika, aibu..
opportunists hawa clouds..mbona msiba wa yule mzee kipara au bi nyakomba mbona hawakuwa kimbelembele...
 
Hebu fanya ww interview na wa2 wa kissfm then waombe audio clip u2wekee hapa 2skilze
 
Ukweli ni ukweli tu. Kukijua na kutumia kiswahili ni vema, lakini kukijua kingereza fasaha na kukitumia kuna fursa pana zaidi ya kiswahili.
 
opportunists hawa clouds..mbona msiba wa yule mzee kipara au bi nyakomba mbona hawakuwa kimbelembele...

hahaa mzee Kipara alifariki wapo sukutu
wanatumia msiba wa ngwair kama sehem ya kutokea tu..........,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom