Millard Ayo ni mbaguzi

Millard Ayo ni mbaguzi

Bado radio zipo nyingi na hambagui kama mlivyosema au mnapenda tu kuiongelea clouds? Mbona sisi Team lady jaydee hatulalamiki kwa nini millard halet habar za jide? Si kwa sababu tunajua wasipoleta wao media nyingine kama Tv,newspaper, social networks n mengineyo lazima tupate habar zake? Au kama vip google utaletea matukio yote na picha juu, au hata kusoma hujui ndugu yangu

nasikitika hoja yangu niliyoipa nguvu kwa mifano hai imejibiwa kwa ushabiki na umbea wa hali ya juu...toa facts bro/csta na co kuzodoa.
 
Jaman mnataka dogo afe na njaa mjin eh,,, hawez kutoa habari za kil wakat mhaya hataki we unafikiri hao wafanyakaz waclouds media
 
Feisal madinda, mtoto wa aisha madinda anamjua vzur kijana huyu mtakatifu, halafu wanapenda sana waume za watu, kwan ukiwa staa lazima uendeshe buggat au range kama jide? Kama huna huna, unapewa kluger nyeus kesho lexus, keshokutwa unapokonywa, wapi chrispin wa clouds

We we ni mbea wa hali ya juu..na kwa aina ya uandishi wako nimekugundua ni blogger flani uchwara ambae ulikua gubeli .. Nakufanyia kazi ..IPO siku yako! We tafuta umaarufu mbuzi kwa kuchafua watu! Endelea...
 
Back
Top Bottom