unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Nilisha mu unfollow huyu dogo.
Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?
Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe
Sawa mimi nimekupa ukweli acha tabia ya kulalamika kama mwanamkeWewe nawe ni jinga tu
Kabisa mkuu alafu kuna watu wanabisha hapaMkuu huyo usimuamshe, haiwezekani uingiliwe biashara zako binafsi na boss wako ni kutojisimamia au pengine boss nae ana hisa, habari za Jaydee kaweka kapuni.. Sasa WCB. Awe makini kuna hawa jamaa wanajiita dizzim online ukiangalia platform yao utagundua kabisa wanataka kua mbadala wa Ayo TV.. Na mpaka sasa wameshakwaa udhamini wa Vodacom kama yeye na habari zao ziko trending YouTube. Atakapokuja kustuka treni liko Kigoma.
Somo linaeleweka kuwa jamaa akiona mabosi wake na mtu fulani wana ugomvi na yeye anajiingiza kwa mfanoUngetuonyesha ni wapi amechanganya mambo ya clouds na blogs zake ingekuwa vyema kuliko kushusha mwandiko mkubwa bila kiini cha hoja
Tatizo watu ukisema wanasema una chuki, hakuna mtu ana chuki ya hovyo kiasi hicho. Huo ndio ukweli Ayo aufanyie kazi.Kabisa mkuu alafu kuna watu wanabisha hapa
Bila sisi huyo jamaa hawezi kuendesha kazi zake bila wasikilizaji kusingekuwa na redio na sisi ndio tunakuweka town so nilazima asikilize ushauriTatizo watu ukisema wanasema una chuki, hakuna mtu ana chuki ya hovyo kiasi hicho. Huo ndio ukweli Ayo aufanyie kazi.
Ungekuwa jiran ungekalia dole la katWrong advice..
nme mu unfollow pia nkakitolea mbali ki app chakeNimeacha kusoma hiyo blog yake kitambo sana kutokana na Mambo yake hayohayo.
sijui anasoma drs la ngp huyu, ukute kamfaham mirrard juzi tu,Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?
Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe
nalikubal sana hilo jembeeMpaka sasa anaisoma namba na udenda unamtoka,maana habar za WCB na show za diamond alikua anapiga mpunga sanaaaa
SAMMISAGO ANAKUJA KWA KASI MAANA LICHA YA KUWA CHINI YA EATV,LAKINI HAINGILIWI BLOG YAKE NA HAO EATV.wanakwambia kufa kufaana banaa