Millard Ayo unatakiwa ubadilike la sivyo utapoteza mashabiki ,Mambo ya clouds usiyachanganye na blogs zako

Millard Ayo unatakiwa ubadilike la sivyo utapoteza mashabiki ,Mambo ya clouds usiyachanganye na blogs zako

Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?

Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe

Mnafiki. Afu acha kusema Sisi. Wewe na nani. Wivu ndo msingi wa Watanzania. So stupid Fanyeni kazi.
 
Mkuu huyo usimuamshe, haiwezekani uingiliwe biashara zako binafsi na boss wako ni kutojisimamia au pengine boss nae ana hisa, habari za Jaydee kaweka kapuni.. Sasa WCB. Awe makini kuna hawa jamaa wanajiita dizzim online ukiangalia platform yao utagundua kabisa wanataka kua mbadala wa Ayo TV.. Na mpaka sasa wameshakwaa udhamini wa Vodacom kama yeye na habari zao ziko trending YouTube. Atakapokuja kustuka treni liko Kigoma.
 
Kabisa mkuu alafu kuna watu wanabisha hapa
 
Ungetuonyesha ni wapi amechanganya mambo ya clouds na blogs zake ingekuwa vyema kuliko kushusha mwandiko mkubwa bila kiini cha hoja
 
Ungetuonyesha ni wapi amechanganya mambo ya clouds na blogs zake ingekuwa vyema kuliko kushusha mwandiko mkubwa bila kiini cha hoja
Somo linaeleweka kuwa jamaa akiona mabosi wake na mtu fulani wana ugomvi na yeye anajiingiza kwa mfano

Clouds media walipogombana na lady j dee na yeye akajiingiza kwenye ugomvi akawa haandiki habari za jide hadi leo, hata ruby hivyo hivyo na sasa millard haandiki kabisa habari za WCB kama haoni vile kisa ni mgogoro baina ya clouds na wcb na yeye ndio kawasusa wcb kwenye blogs zake... Si ujinga huu
 
Tatizo watu ukisema wanasema una chuki, hakuna mtu ana chuki ya hovyo kiasi hicho. Huo ndio ukweli Ayo aufanyie kazi.
Bila sisi huyo jamaa hawezi kuendesha kazi zake bila wasikilizaji kusingekuwa na redio na sisi ndio tunakuweka town so nilazima asikilize ushauri
 
Examples of Potential Workplace Conflicts of Interest

These are examples of situations in which an employee might experience a conflict of interest. They illuminate the true nature of what a conflict of interest really means.
  • An employee starts a company that provides similar services to similar clients as those of her full-time employer. This is especially a conflict of interest when an employer has had her sign a non-compete agreement.
  • An employee works part-time in the evening for a company that makes a product that competes with the products of his full-time employer.
Kwa watu ambao wamewahi kufanya kazi kwenye Banks, Audit Firms, Insurance Companies, Telecoms, etc watakuwa wanajua kitu inaitwa Non-Compete Agreement.

See Why Companies Use Non Compete Agreements

Siyo vibaya tukijielimisha juu ya hilo swala, itatupunguzia maswali.
 
Usishangae utakaposikia ruge ni share holder wa blogs na Ayo tv
 
Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?

Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe
sijui anasoma drs la ngp huyu, ukute kamfaham mirrard juzi tu,
 
Mpaka sasa anaisoma namba na udenda unamtoka,maana habar za WCB na show za diamond alikua anapiga mpunga sanaaaa

SAMMISAGO ANAKUJA KWA KASI MAANA LICHA YA KUWA CHINI YA EATV,LAKINI HAINGILIWI BLOG YAKE NA HAO EATV.wanakwambia kufa kufaana banaa
nalikubal sana hilo jembee
 
Back
Top Bottom