Millard Ayo unatakiwa ubadilike la sivyo utapoteza mashabiki ,Mambo ya clouds usiyachanganye na blogs zako

Kwel kbsa milladi ayo acha na wazinguaji clauz
 
inasemekana ni ya babu tale hiyo dizzim online tv..

so ina access na wasanii wa wcb sana kuwahoji hoji... hata kenya wamesafiri na diamond

 
Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?

Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe
Kwavile umetaka matusi basi nakujibu kama unavyopaswa kujibiwa.
MilardAyo hana mashabiki utoko kama wewe sababu anajua hadhira yake ila hatambui wala vumbi ambao mnakuja lalamika mnamaliziwa MB humu kwani ulilazimishwa kutembelea blog yake.
Usipende kuanzisha mada ukiwa tumbo wazi utakufa matako juujuu wenzio wanaingiza hela wewe unakuja kupiga umbea kazi za kina kidawa mnachukua watu kama nyinyi mnasababisha nchi haipati maendeleo hii.
 
Wewe ni kila. Za lazima akosolewe kama hupendi pita kushoto
 
Wewe ni kila. Za lazima akosolewe kama hupendi pita kushoto
Sasa kati ya mimi na wewe unaelalamika kuishi MB nani kilaza ,wala vumbi mna matatizo sana nawe unajiita shabiki wa wasafi,basi Diamond ana kazi mana mashabiki zake kama ndo aina ya wewe ni sawa na betri lililoisha chaji.
 
Sasa kati ya mimi na wewe unaelalamika kuishi MB nani kilaza ,wala vumbi mna matatizo sana nawe unajiita shabiki wa wasafi,basi Diamond ana kazi mana mashabiki zake kama ndo aina ya wewe ni sawa na betri lililoisha chaji.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanahabari ni mahodari kudai uhuru ukiminywa na serikali,lakini wanashindwa kudai uhuru huo huo ukiminywa na mabboss zao ,mimi naamini Millard Ayo,hana tatizo na WCB tatizo yule Ishomile .Ila amtazame mwenzake Sam Misago ametenganisha biashara yake na kazi yake EATV,jamaa anapost matukio ya WCB .Alafu akae akijua Youtube channel zinazochipukia na zinazofanya vizuri zipo nyingi tu kama Dizzim,Global publisher,AbbaTv nk sasa yy muache kwani biashara yake inategemea watazamaji,watazamaji wakiwa wengi pesa inakuwa nyingi na wakiwa wachache pesa inapungua, aangalie maslai.Alafu mimi nikimtizama Millard kwa vifaa alivyokuwa navyo ana uwezo wakuanzisha Radio yake lkn sijui yeye mwenyewe labda muoga.
 
ILA BILA CLOUDS ANGETUMIA HELA NYINGI SANA KUZIPROMOTE KAZI ZAKE, MUACHENI ALIPE FADHIRA MAANA NAAMINI MASHABIKI WA BLOG NA TV YAKE HUINGIA HUKO BAADA YA KUMSIKIA CLOUDS KWANZA AKITOA INTRO THEN FULL HABARI UTAZIKUTA, JE AKIACHA KUITUMIA CLOUDS KUITANGAZA MEDIA YAKE YAA MILLAD AYO HAWEZI KUPOTEZA MASHABIKI?
 
Kuna Yule manzi anatangaza nae kwenye radio miyeyusho sijapata kuona,habari yenye umakini analeta masihara..kucheka cheka kila saa,
Anasoma habari anaanza kubishana nayo yeye kwanza,
Analazimisha utani kwa mshikaji,wakati mshikaji ni mtu makini....kwa kifupi utangazi wao haujaoana km ukilinganisha Gadner na kibonde....bora abaki mwenyewe km zamani
 
Huwezi jua amefikaje hapo alipo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…