Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo usimuamshe, haiwezekani uingiliwe biashara zako binafsi na boss wako ni kutojisimamia au pengine boss nae ana hisa, habari za Jaydee kaweka kapuni.. Sasa WCB. Awe makini kuna hawa jamaa wanajiita dizzim online ukiangalia platform yao utagundua kabisa wanataka kua mbadala wa Ayo TV.. Na mpaka sasa wameshakwaa udhamini wa Vodacom kama yeye na habari zao ziko trending YouTube. Atakapokuja kustuka treni liko Kigoma.
Kwavile umetaka matusi basi nakujibu kama unavyopaswa kujibiwa.Wewe ni mpumbavu kabisa tena jinga inamaana hujui maana ya shabiki?
Sisi ndio tunmfanya aingize pesa kwa sababu ya mb zetu tunazopoteza online, hivyo tuna haki ya kumkosoa usiwe mjinga wewe
Wewe ni kila. Za lazima akosolewe kama hupendi pita kushotoKwavile umetaka matusi basi nakujibu kama unavyopaswa kujibiwa.
MilardAyo hana mashabiki utoko kama wewe sababu anajua hadhira yake ila hatambui wala vumbi ambao mnakuja lalamika mnamaliziwa MB humu kwani ulilazimishwa kutembelea blog yake.
Usipende kuanzisha mada ukiwa tumbo wazi utakufa matako juujuu wenzio wanaingiza hela wewe unakuja kupiga umbea kazi za kina kidawa mnachukua watu kama nyinyi mnasababisha nchi haipati maendeleo hii.
Sasa kati ya mimi na wewe unaelalamika kuishi MB nani kilaza ,wala vumbi mna matatizo sana nawe unajiita shabiki wa wasafi,basi Diamond ana kazi mana mashabiki zake kama ndo aina ya wewe ni sawa na betri lililoisha chaji.Wewe ni kila. Za lazima akosolewe kama hupendi pita kushoto
[emoji16][emoji16][emoji16]Sasa kati ya mimi na wewe unaelalamika kuishi MB nani kilaza ,wala vumbi mna matatizo sana nawe unajiita shabiki wa wasafi,basi Diamond ana kazi mana mashabiki zake kama ndo aina ya wewe ni sawa na betri lililoisha chaji.
DuhUngekuwa jiran ungekalia dole la kat
Huwezi jua amefikaje hapo alipo,Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia huyu kijana na kweli amekuwa akivutia watu wengi kutokana na kipaji chake cha utangazaji, na millard ayo ametoka mbali sana hadi leo kufikia hatua kubwa aliyofikia
Kitu ambacho nimekiona na kama huyu kijana asipo badilika atapoteza mashabiki ni kutokana na kuendeshwa na clouds media hata kwenye media zake binafsi anazozimiliki, ikumbukwe kuwa Millard ayo anamiliki blog yake mwenyewe na Ayo tz, pia ana studio yake binafsi ya kisasa ambayo anamiliki yeye mwenyewe
Kinachomuharibia huyu kijana ni kitendo cha kutojiwekea masharti yake binafsi katika blog yake na ayo tv, Millard ayo amekuwa akiendeshwa na Clouds media hata kwenye kazi zake binafsi ambazo hazitakiwi kuingiliwa na clouds
Kwa mda mrefu imezoeleka kuwa clouds media ikiwa na mgogoro na mtu yoyote awe msanii au mtu binafsi basi millard nae amekuwa akifwata mkumbo na kuingiza migogoro hiyo kwenye media zake binafsi ambazo zina misingi yake isiyohitaji kuingiliwa
Tumeshuhudia mara nyingi clouds media inapojiingiza kwenye migogoro ambayo inaanzishwa na Ruge millard nae amekuwa akifwata mkumbo na kuliingiza hilo bifu hadi kwenye kazi zake binafsi kitu ambacho kinaweza kumuharibia kazi zake na kumpotezea mashabiki wengi wanaofuatilia blog yake na Ayo tv
USHAURI
mdogo wangu Millard napenda kukushauri tu ulipotoka ni mbali hadi hapo ulipofika, ni vyema ujijengee misingi yako kwenye media zako binafsi pasipo kuingiliwa na mtu yoyote la sivyo utajikuta unaendeshwa kijinga na kujikuta unapotea, Usiingilie migogoro ya clouds media ukachanganya na kwenye kazi zako binafsi utapotea
Zijenge Ayo tv na Ayo blog ziwe na misingi yake isiyoingiliwa na mtu yoyote, kama clouds wana bifu na mtu mwingine we achana nao, utakapokuwa kwenye amplifaya fwata masharti yao na utakaporudi kwenye ofisi yako binafsi na wewe uwe na misingi yako binafsi isiyo ingiliwa la sivyo utapoteza umaarufu kwani kinachokupa pesa nyingi ni views nyingi kwenye blog yako na ayo tv on youtube
Jijengee kujiamini ikiwezekana ni heri uachane na hao clouds ili uwe huru kabisa kwani now huna cha kupoteza clouds kwa hatua uliyofikia vinginevyo hao hao clouds watakuharibia kazi zako binafsi
Nawasilisha