Mpaka watu wamekuja kutoa ushauri hapa Millard ayo ajue anapendwa, biashara haihitaji mazoea maana hata soko la online tv miaka miwili iliyopita sio hili kabisa maana sahizi kuna Dizzim online wanakuja kama moto wa nyikani, kama millard ataendelea kuwa clouds media in parimateria basi ajiandae kupambana na wapinzani/maadui wa CMG.
Ikumbukwe kuwa habari za WCB zina walaji wengi sana maana sote tunaona video zao ngapi zinakamata nambari 1 kwa kutrend, binafsi kama nikivyosema juu nimeshaunsubacribe sasa aendelee tuu aone watembeleaji wanavyopungua halafu hao tunaenda DSM online