Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Nimeona jamaa viewers sijui atazipatia wapi tena mana ata facebook post zenye comment nyingi zilikuwa za wcb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mjinga sana na ni muoga hajiamini yani nna wasi wasi hiyo studio yake na online tv kusaga ana share kubwa zaidi yake, unaweza kukuta yeye pale ni mshika mkia tu maana kusaga ndio zake, na ndio maana matakwa ya clouds media ndio hayo hayo ya ayo mediaMpaka watu wamekuja kutoa ushauri hapa Millard ayo ajue anapendwa, biashara haihitaji mazoea maana hata soko la online tv miaka miwili iliyopita sio hili kabisa maana sahizi kuna Dizzim online wanakuja kama moto wa nyikani, kama millard ataendelea kuwa clouds media in parimateria basi ajiandae kupambana na wapinzani/maadui wa CMG.
Ikumbukwe kuwa habari za WCB zina walaji wengi sana maana sote tunaona video zao ngapi zinakamata nambari 1 kwa kutrend, binafsi kama nikivyosema juu nimeshaunsubacribe sasa aendelee tuu aone watembeleaji wanavyopungua halafu hao tunaenda DSM online