Millard Ayo wa 2005-2008

Hivi kwanini wengine hawajifunzi ubunifu toka kwa huyu Ayo.

Millard hebu wape darasa hao wanaona ubunifu yule dada wa take one.. aache kuhoji makaka poa.
 
Umeelewa lakini nilicho andika?[emoji15]
Wewe mwenyewe huelewi mada inahusu nini? Labda nikueleweshe: Mada inalenga kuwatia moyo watu ambao wanapigana kutaka ndoto zao zitimie katika maisha kwa kujifunza kutoka kwa Milard. Sasa wewe unatuletea habari ya Millard kutoripoti habari za Jide. Wapi na wapi? Vipi kama ukipata taarifa kuwa Millard huwa haripoti habari za Bruce Lee? Najua ulikuwa hujui. Haya mwambie aanze kuripoti habari za Bruce Lee
 
Mtu wangu wa nguvu namkubali,hata kipindi cha kifo cha Ngwea alikwenda kule na kuonesha ubinadamu mkubwa katika kumsitiri na kuripoti matukio muhimu ya kamanda wetu.I salute u broo.Big up.
 
Hapana ha

hapana hajashika hizi baraka,Lakin as a media person inatakiwa aside bias,hata Kama kuna misunderstanding between jide na media house anapofanyia kazi kijana mwenzetu ayoo.
Being bias in the media business, or any other business for that matter, should not be considered as illegal. It's sometimes used a part of business strategy. After all, in a free-market environment, the owner reserves the right to choose what to sell. Nchi kama Marekani kwa mfano kuna baadhi ya media outlets zinajitambulisha kabisa kuwa "sisi ni Republicans" au "sisi ni Democrats".

Lakini hata hilo suala la Clouds au Millard kutokupiga au kutokutangaza nyimbo au habari za msanii fulani mimi naona huwa linakuzwa tu na watu kwa sababu fulani fulani. Uzoefu wangu unaonesha kuwa Clouds siyo radio pekee ambayo imekataa kupiga nyimbo za msanii fulani. Capital FM iliwahi kugomea kupiga nyimbo za Ally Kiba kipindi cha nyuma. Likewise, EA Radio iliwahi kugomea kupiga nyimbo za Diamond miaka kama mitatu iliyopita. In both cases, sikuwahi kusikia watu wakilalamika kiviiileee. Kwanini wakifanya Clouds ndiyo inaonekana tatizo.
 
Hapana ha

hapana hajashika hizi baraka,Lakin as a media person inatakiwa aside bias,hata Kama kuna misunderstanding between jide na media house anapofanyia kazi kijana mwenzetu ayoo.
Yule Ana akili Sana na ndo mana kafikia mafanikio aliyonayo, hawezi kukazania kureport habari ya MTU mmoja ambayo itamdisappoint boss wake ambaye anamlipa mshahara ili wewe ufurahi wakati kuna habari nyingi tu za kureport , Habari ya jide kaitafute kwingine sio lazima Kwa Millard, tutolee roho mbaya zako hapa na wivu
 
Baada ya hustle zake hizo mwezi huu Millard Ayo will take huge step in his financial life. Millard Ayo is smelling cash.

Stay put, follow his pages to know what's coming.
 
Ila na yeye sometime aache undorobo,anashindwa kuripoti habari za jide kisa kazinguana na boss wake! umakini wake hautokua na maana km ataendelea na undezi huu!!..... by the hongera zake sana Ayo.
Kama unabusara lazima uelewe hilo jambo
 
HII THREAD NAONA MADADA MNAJICHETUA TU KWA KATOTO KAWATU #AYO
 
Mange Kimambi atasema anauza madawa ya kulevya[emoji1] [emoji1]
 
Namkumbali sana. Lakini kabla ya huo mwaka anaousema kama kumbukumbu zangu zipo sahihi tayari nilishamwona akisoma habari za michezo ITV.
 
Naona wabemendaji hawako nyuma Kwa kukasifia kakijana,soon tutasikia wameshapanga foleni mlangoni kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…