Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa lakini nilicho andika?[emoji15]Sasa huyo Jide ndiyo kashika baraka za Millard?
Wewe mwenyewe huelewi mada inahusu nini? Labda nikueleweshe: Mada inalenga kuwatia moyo watu ambao wanapigana kutaka ndoto zao zitimie katika maisha kwa kujifunza kutoka kwa Milard. Sasa wewe unatuletea habari ya Millard kutoripoti habari za Jide. Wapi na wapi? Vipi kama ukipata taarifa kuwa Millard huwa haripoti habari za Bruce Lee? Najua ulikuwa hujui. Haya mwambie aanze kuripoti habari za Bruce LeeUmeelewa lakini nilicho andika?[emoji15]
Bila kuwasahau na wazee wa zungu la unga!Ngoja wafike wazee wa huyo ni Freemason.
Bila kuwasahau na wazee wa zungu la unga!Ngoja wafike wazee wa huyo ni Freemason.
KitandaKakaza nini sasa
.
hapana hajashika hizi baraka,Lakin as a media person inatakiwa aside bias,hata Kama kuna misunderstanding between jide na media house anapofanyia kazi kijana mwenzetu ayoo.Sasa huyo Jide ndiyo kashika baraka za Millard?
mchaga ndo maanaGodbless Millad Ayo. Kijana mbunifu,mchapakazi, hana maneno na mtu
Being bias in the media business, or any other business for that matter, should not be considered as illegal. It's sometimes used a part of business strategy. After all, in a free-market environment, the owner reserves the right to choose what to sell. Nchi kama Marekani kwa mfano kuna baadhi ya media outlets zinajitambulisha kabisa kuwa "sisi ni Republicans" au "sisi ni Democrats".Hapana ha
hapana hajashika hizi baraka,Lakin as a media person inatakiwa aside bias,hata Kama kuna misunderstanding between jide na media house anapofanyia kazi kijana mwenzetu ayoo.
Yule Ana akili Sana na ndo mana kafikia mafanikio aliyonayo, hawezi kukazania kureport habari ya MTU mmoja ambayo itamdisappoint boss wake ambaye anamlipa mshahara ili wewe ufurahi wakati kuna habari nyingi tu za kureport , Habari ya jide kaitafute kwingine sio lazima Kwa Millard, tutolee roho mbaya zako hapa na wivuHapana ha
hapana hajashika hizi baraka,Lakin as a media person inatakiwa aside bias,hata Kama kuna misunderstanding between jide na media house anapofanyia kazi kijana mwenzetu ayoo.
Dogo anakula million 30 kwa mwezi kutoka Google. UsimpimieHebu leteni na picha za makazi yake ya sasa...
Kama unabusara lazima uelewe hilo jamboIla na yeye sometime aache undorobo,anashindwa kuripoti habari za jide kisa kazinguana na boss wake! umakini wake hautokua na maana km ataendelea na undezi huu!!..... by the hongera zake sana Ayo.