Kumbe humjui[emoji15] [emoji15]Kumbe huyu ndio milad Ayo.
Millard ayo hamna kitu cku izi amekuwa reporter wa Makonda n CCMHabari wakuu,
Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.
Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.
View attachment 361849
Siyo mchaga. Millard Ayo ni mmeru!mchaga ndo maana
Wenye roho za kwann hamkosekaniMillard ayo hamna kitu cku izi amekuwa reporter wa Makonda n CCM
Umeonaaa mkuu namkubali Sana huyu kakaHuyu ndiye superstar namba moja kwa kuwa na discipline ya hali ya juu tz
Habari wakuu,
Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.
Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.
View attachment 361849
Habari wakuu,
Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.
Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.
View attachment 361849
Habari wakuu,
Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.
Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.
View attachment 361849
wabongo kwa maneno acha usifanikiw tu tayari freemason wanapenda wote tuwe same level big up milard ayo anajituma sana ategemei celebrity mmoja tofauti na mablog weng mpaka habari za diamond au magufur ndo wauze inaboaNgoja wafike wazee wa huyo ni Freemason.
Kweli kabisa mkuu yaani ameniinspire sana
Nampenda sana mtu wa nguvu Millard Ayo na kiukweli ametoka mbali ila kakaza cha muhimu ni kutokukata tamaa
Sasa huyo Jide ndiyo kashika baraka za Millard?
Nawaangalia tu..... Ndo muelewe kwamba most men struggles from the bottom to the top... Unluckily these types of men come to meet evils wives and selfish leave olone gold digger.
Hivi ni binti gani angemkubalia Millard at that stage of his life.!?
LESSON
*STRUGGLE WITH YOUR PARTNER TO THE TOP THAN WAITING TO SNATCH FRUITS OF WHICH YOU NEVER WATERED.
Dah... We jamaa .. Umeandika kama Mke mwenza.Kwan kwa sasa ana mafanikio gani mfano?anamiliki investments ngapi hapa mjini?
You hardly find men... Most Men are self-dependant.Na huo ujumbe wako uwafikie wanaume wa namna hiyo pia.
Ana chuki binafsi huyoDah... We jamaa .. Umeandika kama Mke mwenza.
ITV ameanza kuonekana 2009Namkumbali sana. Lakini kabla ya huo mwaka anaousema kama kumbukumbu zangu zipo sahihi tayari nilishamwona akisoma habari za michezo ITV.
You hardly find men... Most Men are self-dependant.