Millard Ayo wa 2005-2008

Millard Ayo wa 2005-2008

Kwan kwa sasa ana mafanikio gani mfano?anamiliki investments ngapi hapa mjini?
 
Habari wakuu,

Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio hayaji kirahisi lazime tupambane.

Big up Millard Ayo Mtu wangu wa nguvu.

View attachment 361849

46d7a18db1fd3151fcd9957e1d5570aa.jpg
1a2d99a2b703efb85f8c3b3e18be0a87.jpg
Millard ayo hamna kitu cku izi amekuwa reporter wa Makonda n CCM
 
Kweli kabisa mkuu yaani ameniinspire sana
Nampenda sana mtu wa nguvu Millard Ayo na kiukweli ametoka mbali ila kakaza cha muhimu ni kutokukata tamaa

Sasa huyo Jide ndiyo kashika baraka za Millard?

Nawaangalia tu..... Ndo muelewe kwamba most men struggles from the bottom to the top... Unluckily these type of men come to meet evil wives and selfish leave olone gold digger.

Hivi ni binti gani angemkubalia Millard at that stage of his life.!?

LESSON

*STRUGGLE WITH YOUR PARTNER TO THE TOP THAN WAITING TO SNATCH FRUITS OF WHICH YOU NEVER WATERED.
 
Nawaangalia tu..... Ndo muelewe kwamba most men struggles from the bottom to the top... Unluckily these types of men come to meet evils wives and selfish leave olone gold digger.

Hivi ni binti gani angemkubalia Millard at that stage of his life.!?

LESSON

*STRUGGLE WITH YOUR PARTNER TO THE TOP THAN WAITING TO SNATCH FRUITS OF WHICH YOU NEVER WATERED.

Na huo ujumbe wako uwafikie wanaume wa namna hiyo pia.
 
Back
Top Bottom