Unasiliza halafu unamuona? Hivi wewe ni kilaza wa wapi usiyejuwa audio na video?
Jamani anapunguzaa stress kule nomaa yaan Matola sipati picha nyumbani kwako maana ni mkali mkali
Wewe humu unafuatilia maisha ya nani??
sifuatilii maisha ya MTU......
wewe memory nzima ya ubongo wako imejaa habari binafsi za with (udaku) zinakusaidia nini? unatia aibu mtoto wa kiume kushadadia mada za skins dada
Eeh kwa ndo unanisuta, naona unanivalia khanga, taratibu mkuu...
kwakuwa umezoea kushinda na mashosti zako akina Dada unahisi kila MTU yupo hivyo mi wa kiumeni dogo sina ubongo mdogo wa kujadili habari za khanga na maneno ya uwani kama wewe.
mnatudhalilisha sana wanaume wenzenu
hizo habari za kufwatilia penzi la akina diamond mara milad ayo mara shosti yule waachie wakina dada wajadili wakikata vitunguu wewe ni mwanaume unayeweza kufanya hayo yanayofanywa na wanaume wenzioendelea kunisuta mkuu, au kama khanga haitoshi nenda kavae pedo uje tena , naona mambo hayo unayaweza sana mkuu
hizo habari za kufwatilia penzi la akina diamond mara milad ayo mara shosti yule waachie wakina dada wajadili wakikata vitunguu wewe ni mwanaume unayeweza kufanya hayo yanayofanywa na wanaume wenzio
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..
Kumbe kuwa dubai nayo ni mafanikio au achievement mpaka mtu apewe hongera? Sasa na wale wanaokatiza pande hizo mara mbili au tatu kwa mwezi ndo inakuwaje sasa?
Kwa wale ambao tunajua alipotokea mwana habari huyu machachali, tunaweza kusema amefanikiwa kwa kiasi chake, pia ukumbuke kaenda kule kwa ajili ya kazi sio kuzurula kama hao wengine
Msamehe tuu.Sawa mm kilaza, au kuna jina lingine umesahau kuniita mkuu