Millard ayyo in Dubai

Millard ayyo in Dubai

Wewe humu unafuatilia maisha ya nani??

sifuatilii maisha ya MTU......
wewe memory nzima ya ubongo wako imejaa habari binafsi za with (udaku) zinakusaidia nini? unatia aibu mtoto wa kiume kushadadia mada za skins dada
 
Eeh kwa ndo unanisuta, naona unanivalia khanga, taratibu mkuu...
 
kwakuwa umezoea kushinda na mashosti zako akina Dada unahisi kila MTU yupo hivyo mi wa kiumeni dogo sina ubongo mdogo wa kujadili habari za khanga na maneno ya uwani kama wewe.
mnatudhalilisha sana wanaume wenzenu
 
endelea kunisuta mkuu, au kama khanga haitoshi nenda kavae pedo uje tena , naona mambo hayo unayaweza sana mkuu
 
hizo habari za kufwatilia penzi la akina diamond mara milad ayo mara shosti yule waachie wakina dada wajadili wakikata vitunguu wewe ni mwanaume unayeweza kufanya hayo yanayofanywa na wanaume wenzio
 
Wewe ulijuaje kama haya mambo wanafanyaga akina dada wakikata vitunguu?? Kama na wewe sio mchezo wako?? Endelea kufunguka mkuu nakusikiliza
 
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..

Kumbe kuwa dubai nayo ni mafanikio au achievement mpaka mtu apewe hongera? Sasa na wale wanaokatiza pande hizo mara mbili au tatu kwa mwezi ndo inakuwaje sasa?
 
Kwa wale ambao tunajua alipotokea mwana habari huyu machachali, tunaweza kusema amefanikiwa kwa kiasi chake, pia ukumbuke kaenda kule kwa ajili ya kazi sio kuzurula kama hao wengine
 
Wala hajaenda kikazi kapelekwa na ruge kuzurula kwa kuwa ilikuwa ni birthday yake..
 
Back
Top Bottom