Millen na presida wetu

Millen na presida wetu

Kwa warembo tu..Mkuu anaosha!...Mbona wako 'body-to-body contact bila sababu ya msingi?
Hapo kama vile kamzungushia mkono sehemu ya nyuma vile!

Huyu mdada tayari maisha bora atayaona..soon and very soon!
 
Pj haya hapo kwenye red du haya mambo uko nayo makini...mbona mi sioni huo mkono kama ameuzungushia nyumba...au
 
Presidaa wetu ni mbongo halisi. Sio yeye tu anayependa vimwana hata wewe na yule mnapenda sana milupo jamani, tuwe wakweli.
 
Kwa warembo tu..Mkuu anaosha!...Mbona wako 'body-to-body contact bila sababu ya msingi?
Hapo kama vile kamzungushia mkono sehemu ya nyuma vile!

Huyu mdada tayari maisha bora atayaona..soon and very soon!
Unajua mkuu huwa anachungulia humu jf, sasa subiri varangati lake.....utatafuta njia ya kutokea....hehehe.....
 
Ila presda wetu kwa kweli du so mchezo
 
Presidaa wetu ni mbongo halisi. Sio yeye tu anayependa vimwana hata wewe na yule mnapenda sana milupo jamani, tuwe wakweli.
waelezee hawa,kuku akienda toilet eti wanasema kajisaidia lkn akienda bata aah wanasema eti kaharisha!kwanza sion la ajabu prezdaah kuchukua kumbukumbu na vijana wake!
hata mie nikimuona prezdaa lazima nipige naye picha kwa ukaribu!
 
Hakikisha uvae kama ulivyo katika avatar yako....
 
Kumbe Commender In Chief wetu naye ankulaga red carpet sio.....Dah Tumeendelea...
 
mpaka miaka 10 iishe tutamkoma mtoto wa kikwere
 
waelezee hawa,kuku akienda toilet eti wanasema kajisaidia lkn akienda bata aah wanasema eti kaharisha!kwanza sion la ajabu prezdaah kuchukua kumbukumbu na vijana wake!
hata mie nikimuona prezdaa lazima nipige naye picha kwa ukaribu!
Hamna noma Maisha bora yataendelea kwako pia! Jaribu utayapata maisha bora.........
 
Sometime huwa namuonea wivu sana jk

pamoja na maneno yote,womens still love him a lot.
 
Back
Top Bottom