Millennials, mnaikumbuka kilevi aina ya Kuber

Millennials, mnaikumbuka kilevi aina ya Kuber

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
 

Attachments

  • 1734165890477.jpg
    1734165890477.jpg
    160.3 KB · Views: 3
Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
Nakumbuka zimeingia. Wanafunzi wa primary walikuwa wanavitumua saba il8kuwa kama fashion. Nlijaribu ile harufu yake ilinichefua hatari.
Sema bora serikali ilivipiga marufuku. Sisi shuleni kwetu ilikuwa maarufu kwa sababu tulikuwa twasoma na wahindi wengi ambao ndiyo walikuwa wanavitumia sana.
 
Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
Kuna rafiki angu wa udogoni tukiwa standard 7 kwao kulikua na duka kwa kuto kujua akachukua AKAWEKA CHINI YA ULIMI DAKIKA KADHAA AKADONDOKA CHINI KAMA MZIGO ☺️☺️😊 PUUUU.

Baba na mama na nduguze wakaenda fasta kumuokota pembeni akakutwa na hicho kipacti..akaokotwa na kupelekwa ndani akapandishwa kitandani...baada ya kuber kupungua nguvu alipo amka ALIJISIKIA AIBU/ FEDHEHA

ILA NDIO IVYO MAISHA YA UJANA KUJALIBU MAMBO MENGI 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom