Millicom (kampuni mama ya tiGO) yanunua hisa 85% Zantel

According to a media statement issued by Millicom, it has agreed to buy an 85 percent stake in Tanzanian operator Zanzibar Telecom (Zantel) from the Etisalat Group.

According to the statement, under the terms of the agreement, Millicom will pay a total cash consideration of USD 1 dollar and assume total debt obligations of USD 74 million. In addition, Zantel will have up to USD 32 million in net current liabilities at closing.

Millicom expects the EBITDA of Zantel to reach USD 25 million through a combination of bringing new products and services to the existing customer base and delivering greater efficiencies. The acquisition agreement allows for an adjustment to the total consideration if that target is not reached by the end of 2019.

Millicom intends to retain and continue to operate the Zantel brand, while delivering cash flow growth by leveraging technical and operational efficiencies. The company plans to roll out 4G coverage and access more bandwidth capacity via the undersea fibre optic cable EASSy.

Millicom has arranged with an international bank, the provision of a USD 100 million 5-year credit facility for Zantel. The Government of Zanzibar will continue to own the remaining 15 percent of the shares in Zantel. The transaction remains subject to regulatory approval by the Tanzanian Communications Regulatory Authority and the Fair Competition Commission.

Zantel has an approximate 5 perc
 
Dah nimesoma hio habari, hawa zantel wanaingiza revenue dola za kimarekani milioni 84 (bilioni 184). Hii ni kama milioni 500 hv kwa siku, kwa mtandao mdogo kama huo.

Je kina vodacom na airtel itakuwaje? Jamaa wanapiga hela balaa
 
Nimetafsiri tu,mwenye mamlaka makubwa ni SMZ kama Local share holder ndio maana hajauza.

Lakini kutouza au kuuza hakumaanishi kwamba una mamlaka makubwa au lah !! Mara nyingi inatokana na sababu za kibiashara ,lakini kwa Serikali kunakuwaga na sababu za kisiasa hadi kuendelea kushikiria hisa zake kwenye kampuni nyingine hata zile zinazoendeshwa kihasara
 
Dah nimesoma hio habari, hawa zantel wanaingiza revenue dola za kimarekani milioni 84 (bilioni 184). Hii ni kama milioni 500 hv kwa siku, kwa mtandao mdogo kama huo.

Je kina vodacom na airtel itakuwaje? Jamaa wanapiga hela balaa

Voda ina wateja kama

10,000,000*500=5,000,000,000 per day.

Hiyo ni airtime hujaweka huduma nyinginezo.

Mitandao ina hela aisee. Voda au Airtel hawakosi atleast bil 5 kwa siku.
 
Voda ina wateja kama

10,000,000*500=5,000,000,000 per day.

Hiyo ni airtime hujaweka huduma nyinginezo.

Mitandao ina hela aisee. Voda au Airtel hawakosi atleast bil 5 kwa siku.

Vodacom wanaingiza 2bils na airtel 1.5b per day.
 
Dah nimesoma hio habari, hawa zantel wanaingiza revenue dola za kimarekani milioni 84 (bilioni 184). Hii ni kama milioni 500 hv kwa siku, kwa mtandao mdogo kama huo.

Je kina vodacom na airtel itakuwaje? Jamaa wanapiga hela balaa

"Service to many leads to Greatness" ~ Jim Rohn

Find a way to serve the many. Wanachota hela kweli kweli. Kila siku iendayo kwa Mungu watu wananunua vouchers.
 
Unataka kushirikishwa kwani una hisa na Zantel?

sisi kama mamlaka ya ushindani hii hatuikubali,

sisi kama wateja wa zantel hatukubali, hatujashirikishwa
 
Mkuu hizo tarakimu zisikuchanganye...

Kati ya makampuni ya simu ambayo hayapo vizuri kiuchumi basi Zantel ni mojawapo...

Imekuwa ikiendeshwa kwa madeni na misamaha mikubwa kutoka kwa vendors kama Huawei, Alcatel Lucent etc...

Naona bora kwa sasa iwe chini ya Millicom angalau hata hali ya maisha ya wafanyakazi wao itaboreshwa...

Dah nimesoma hio habari, hawa zantel wanaingiza revenue dola za kimarekani milioni 84 (bilioni 184). Hii ni kama milioni 500 hv kwa siku, kwa mtandao mdogo kama huo.

Je kina vodacom na airtel itakuwaje? Jamaa wanapiga hela balaa
 
Millicom kwa sasa ndio mwenye sauti ndani ya Zantel. Zanzibar govt haina maamuzi kibiashara ndani ya Zantel (kwa uchache wa hisa zake). Tigo sasa itakua inashindana na pacha wake. Ni tatizo lilelile la sheria zetu. Zantel imeuzwa kwa dola moja tu! Capital gain tax hatupati hapo kama URT. Kingine kibaya ni endapo itatengenezwa consolidation account, na Zantel kupata hasara huku Tigo ikipata faida kubwa, faida ya Tigo itatumika kupunguza hasara ya Zantel, tax base itakua chini sana hivyo Millicom wamekwepa kodi sana kwa kitendo hiki. Tanzania tutaibiwa mpaka lini
 
Kampuni ya mawasiliano ya Millicom ambayo ndiyo wamiliki wa Tigo Tanzania wametangaza kuwa wameweka sahihi mkataba wa kununua 85% ya hisa za kampuni ya Zanzibar Telcecom (Zantel) kutoka kwa Etisalat Group!

Source: Millicom buys up Zantel
 
Hongera zao.

Wasisahau kulipa capital gain Tax.
 
Kwanza mkuu rekebisha caption yako, pili ufafanuzi ndo kusema sasa Zantel imekufa au ???????????????
 
Kwanza mkuu rekebisha caption yako, pili ufafanuzi ndo kusema sasa Zantel imekufa au ???????????????

Et salat wameuza hisa zao (85%) kwa. Millicom . Lakini kutokana na taarifa ya Millicom zantel kama brand itabaki kuwa vile vile na hii inamaanisha Millicom itakuwa na umiliki mkubwa katika makampuni mawili ya huduma za simu hapa Tanzania. Na kingine bado asilimia 15 zipo kwa serikali ya Zanzibar
 
It was a typing error idoyo... Moderator can you please correct the error so that the records are kept correctly! I can't edit/correct the title of the thread!

CC Invisible
kwa vyovyote vile umekosea. kichwa cha habari hakiendani na habari. kusema tigo wamenunua zantel ni kukosea!
 
Dah nimesoma hio habari, hawa zantel wanaingiza revenue dola za kimarekani milioni 84 (bilioni 184). Hii ni kama milioni 500 hv kwa siku, kwa mtandao mdogo kama huo.

Je kina vodacom na airtel itakuwaje? Jamaa wanapiga hela balaa
Operating expenses zipo juu pia. Angalia depreciation ana amortization inatafuna profit kwa kiasi kikubwa hasa kutokana na softwares pamoja na investment kwenye fixed assets. Ndio maana makapuni haya yameamua kuuza minara kwa helios tower.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…