Peter Agostino
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 105
- 229
Zantel kujiondoa etisalat imeharibu kabisa uthabiti wake kwenye huduma za intaneti, mimi mwenyewe ni shahidi, zamani intaneti ya zantel hakuna kampuni nyingine iliyokuwa ikiifikia kwa uhakika wake, hata uwe wapi ilikuwa faster na ya uhakika lakini cha ajabu tangu ichukuliwe na hiyo millicom nimeamua kuhamia mtandao mwingine ambao hata hivyo bado hauwezi kufika vile zantel ilivyokuwa wakati wa etisalat. Inavyoonekana etisalat ni kiboko kwa intanet.