Peter Agostino
Senior Member
- Sep 23, 2016
- 105
- 229
Mbona tz bara bado haina nguvuNaona Tigo Sasa wanaitaka 99% ya Zantel, je itaunganishwa au wataiachia jina lake liendelee halafu watafute mtu wamuuzie ?
Tigo on verge of Zantel acquisition
Tigo seeks to acquire rest of Zantel
Mbona tz bara bado haina nguvu
Ngoja tuone.Nahisi ni moja ya "mkakati" wa Tigo, kuidumisha huku bara na hatimae aidha waimeze au waiuze kwa kampuni nyengine... Wakati utasema