The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani.
Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji, kumbu kumbu zangu zinaniambia timu zote ambazo hupewa ofa kama hizi huangaukia pua. Simba na yanga mkitaka Matokeo weekendi hii msifikirie hiyo ofa ya samia jikiteni kwenye mbinu zenu..
KAZI KWENU
UPDATE 1
Mnyama kashakamuliwa damu tayari bado chura kesho.
Ahadi hizi sometimes huambatana na mikosi