The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
yeesNaunga mkono hoja. Kwanza mara nyingi ahadi za wanasiasa zina gundu.
Uwekezaji pekee ndiyo utakao amua matokeo kwa upande wa hizo timu zetu mbili. Na siyo kwa sababu ya ahadi ya milioni 5 kwa kila goli.
wanao ujua mpira, washaona hizo pesa ni chenga tu, angesubiri washinde ndiyo atoe hela.Kuna mkuu wa mkoa huko naye ameahidi milioni 1 kwa kila goli, kuna Tunda Man naye ameahidi milioni 1 kwa kila goli, hapo bado kuna wengine hawajatangazwa, kwa hiyo hii pressure ni kubwa.
Juzi nilisikia mahojiano na mchezaji wa zamani wa Simba anasema kwenye fainali ya CAF 1993, Simba ilivurugwa na wanasiasa kuingilia mipango ya timu katika game ya mwisho.
Hizi ahadi zingetolewa kwa ushindi siyo magoli.
Yanga kweli akili zinapotea ukishabikia kwa hyoSiku za vilio zaja bado masaa machache Sana....., Huwezi kufungwa na timu dhaifu Kama Horoya afu uje utegeme ushindi kwa timu yenye kikosi bora kama Raja...
Baleke...
Sawa Dogo..
Kanoute..
Sakho...
Mkude...
Mzamiru...
Onyango...
Gori chache ni 2-0 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125]
Pesa haijawahi kushinda mechi hata siku moja, kama pesa ingekuwa kigezo cha kufanya vizuri kwenye mechi basi marekani ingekuwa na timu bora sana duniani.
Mpira ni mbinu na ubora wa wachezaji, kumbu kumbu zangu zinaniambia timu zote ambazo hupewa ofa kama hizi huangaukia pua. Simba na yanga mkitaka Matokeo weekendi hii msifikirie hiyo ofa ya samia jikiteni kwenye mbinu zenu..
KAZI KWENU
Hamna shida boss ngoja tuone , mimi nimetoa ushauri hiyo hela ingetolewa kama zawadi tu baada ya matokeo ingeleta mantiki kubwa zaidi tofauti na ilivyo sasa. Hatari ya timu hizi kuboronga ni kubwa zaidiHuna hoja wewe, mara ngapi MO au GSM walisha ahidi pesa na timu zikapata matokeo? Kuwa na uzalendo kwa rais wako kufanya kitu kama hicho. Je angekua kaahidi GSM but MO ungekuja na hoja hii ?
Hawezi kurudi!Mkuu tupe updates baada ya thread yako hii